Chale hazina shada chief. Ni sawa na bima ya Afya tu!Chale za nini sasa?
Kwanini?Hata mwanaume akiwa na chale naiogopa sana damu yake kuchanganyika na yangu(shahawa)
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Kaamua kujipamba na tattoo za asili tu huyo
Ntajua ameweka silaha za ulinzi.Kila nchi ni vema ikawa na ulinzi imara.Halafu,kwa nini unachunguzachunguza?Haujasoma misemo ya kiswahili?Usimchunguze sana bata.Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Nahisi ina mizimu kedeKwanini?
Fafanua kidogo kuhusu nguvu ya asili ya kiroho hapo umeniacha kidogoNa bado anaweza kwenda huko na bado asifanikiwe aidha kwa uwezo mdogo wa mtaalam ama kwa ulinzi binafsi na nguvu ya kiasili ya kiroho uliyonayo
SipatiHapa unapata picha gani?
nimeogopa😳Uchawi unaoweza kukudhuru utawekewa kwenye kitobo, chakula hasa cha nyama na kinywaji kisicho na kilevi na kisichotoa gesi
Wandele ndio wanatokea mkoa ganKuna wandele hawana chale hata moja lakini ni wachafu bata kasingiziwa... Hawa kiroho na hata kimwili wana madhara makubwa kuliko mwenye makovu yake ya kuchanjwa
Niliwahi kuna na mahusiano na dada fulani, moja ya sababu ya kuachana naye ni uwepo wa hizo chale chale mwilini mwake.Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.
Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.
Hapa unapata picha gani?
Utapiga mzigo na kunasa?
Binti ni mzee wa kazi?
Hakuna shida kufungamanisha roho zao ?Huyo ni mke jamaa yuko sahihi...lakini hawa wa kuosha tu rungu haina shida