Umenikumbusha nilikuwa napiga sound pisi moja ikakubali shida ikawa kila nikipanga tuonane anakuwa anasitasita..siku moja nikakomaa nayo akaniambia sawa ila iwe kuanzia saa moja na nusu usiku..kwenda ananiambia zima taa nikala kimoja chap...baada ya hapo akaanza kujieleza mwenyewe ujue ule mtaa tunaokaa unawachawi sana bila kuchanjwa usiku hulali. Ndugu msomaji kutaahamaki binti alikuwa mweupe amechanjwachanjwa vile vialama viusi ukikwaruzwa na mwiba au kijiti juu ya matiti kuja mgongoni...hapohapo mashine ikanywea na mechi ikaisha hapo..na sikumtaka tena