Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

dah kuna vitu vinaumiza sana
 
Nashukuru mnaotoa ushahidi mko wengi hapa,haya mambo yapo sana
 
Nimeshuhudia leo hili jambo wala si utani, kuna mengi sana nyuma ya hao mnaowaita wapenzi wenu, ukimpigia mtu simu hakikisha wewe ndie wamwisho kukata simu au akiku-hold usiikate simu subiri mpaka arudi hewani, huwa wanajisahau kama bado simu iko onlin na kujikuta wanaropoka mambo waziwazi.

Nimesikia maajabu sana wacha niitunze hii siri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
 
Hata mimi ningekufukuza, kuna muda lazima mukubali ukweli, kazi muhimu, kama unazijali hizo swala zako kaombe kazi msikitini.

Watu wa aina yenu ndio hufa masikini na kumsingizia Mungu eti kupata majaliwa sijui..
 
Hata mimi ningekufukuza, kuna muda lazima mukubali ukweli, kazi muhimu, kama unazijali hizo swala zako kaombe kazi msikitini.

Watu wa aina yenu ndio hufa masikini na kumsingizia Mungu eti kupata majaliwa sijui..
Chief huenda hujui rehma ya Mwenyezi Mungu ilivyo juu ya waja wake wanaomwamini

Nilikuja kupata kazi bora kuliko hiyo niliyo ikosa,,wakati mwingine Mwenyezi Mungu anakupa mtihani aone utauvuka vipi

Niliamini riziki inatoka kwa Allah na hakuna kiumbe ambaye anaweza kunipa riziki,ila viumbe huwa ni sababu tu,lkn mtoaji ni Allah
 
Nimeipenda hii
 
Ninamchukia mpaka kufa nikimuona najisikia vibaya sana na ni tumbo Moja, mpaka Kuna siku nikamuuliza mama isijekua alibadilishiwa mtoto hospital
Pole sana chief,,,naweza hisi vile unavyofeel,,,ila hakuna kitu kizuri kama kuunganisha undugu

Najua ni ngumu lakini msamehe tu kwa ajili ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu
 
Hii technique Haina tofauti na ku- install mobile tracker Kwenye simu ya mtu ili uwe unafuatilia Nyendo zake.

Ukifanya hivi utatengeneza uadui na watu wengi Sana Ni Bora kuacha tu.
Nakuunga mkono mia kwa mia
 
Yuko mmoja amemaliza kuongea na wifi yake kumbe simu hajakata na wifi bado anasikiliza.
Kamsema wifi yake Ni mwizi na mwenye tamaa.
Baadaye wifi akamrukia msemaji hewani.
Wifi hapendi ujinga kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…