Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

Unapoongea na simu kuwa makini na nyakati hii

Pole sana chief,,,naweza hisi vile unavyofeel,,,ila hakuna kitu kizuri kama kuunganisha undugu

Najua ni ngumu lakini msamehe tu kwa ajili ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu
Mungu anisamehe kumsamehe kwa kweli na awafiche maadui zangu nisiwajue waendelee kunichekea ki snitch niziepuke stress
 
Nilimpigia jamaa aniazime pesa kiasi fulani baada ya kukwama kwenye jambo fulani muhimu(alikuwa pia analielewa vizuri lile jambo maana wakati naanza mchakato aliona) tulipomaliza kuongea sikukata simu japo sikuwa na lengo la kusikiliza ila ilitokea tu sikuikata ile simu na nilisikia akisema nanukuu "yaani nimpe pesa ili akapige pesa huyu jamaa mpumbavu sana" na nikasikia vicheko kumaanisha alikuwa na watu wengine
Yule jamaa alinipa somo kubwa sana sitasahau though ni miaka mingi kidogo imepita
 
Hata mimi ningekufukuza, kuna muda lazima mukubali ukweli, kazi muhimu, kama unazijali hizo swala zako kaombe kazi msikitini.

Watu wa aina yenu ndio hufa masikini na kumsingizia Mungu eti kupata majaliwa sijui..
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom