kamdinyo
JF-Expert Member
- Jun 22, 2026
- 267
- 739
kwanini kila jambo kama la jana lazima rais ahusishwe au kuna namna fungu la pesa kutoka CCM hufanikisha shughuli za matamasha kupitia wizara ? maana hata Miss World Tanzania kulikuwa kuna ujinga kama huu. huenda watu wanatoa pesa zao. maana sioni sababu za msingi za kutaka kuingiza mambo ya kisiasa kwenye burudani inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti kuhusu siasa.