Alimtaja Makonda. Watu wakazomea. Akajishtukia eti huyo naye hamumtakiDully alitaka kuchomekea watu wakamkata mapema kabla hajaanza. Naye alikuwa na busara akaona isiwe kesi
Alimtaja makonda. Watu wakazomea. Akajishtukia eti huyo naye hamumtaki
Ni aibu sana kuzomewa.
kwanini kila jambo kama la jana lazima rais ahusishwe au kuna namna fungu la pesa kutoka CCM hufanikisha shughuli za matamasha kupitia wizara ? maana hata Miss World Tanzania kulikuwa kuna ujinga kama huu. huenda watu wanatoa pesa zao. maana sioni sababu za msingi za kutaka kuingiza mambo ya kisiasa kwenye burudani inayokutanisha watu wenye itikadi tofauti kuhusu siasa.
Watu hawawezi kukupenda na kukuheshimu kama ujagusa nafsi zao kidogo ukijistiri nao watakustiri
Ilianza kwa Mwigulu nae akajidai hajali hata asipopigiwa makofi, ikafuata kwa Samia, now ipo kwa Mwana FA.
Hii serikali ya sasa wanaishi kwa shida sana, japo machoni wanajidai wako sawa.
Mkuu sio itakua,ni fungu limetoka na Ile ya Jana ilikua apige na simu awasalimie, mjadala wa madee na tale ukaona hii ishakua sooItakuwa kuna fungu linatoka. Ni kama sehemu ya wadhamini waliotoa mpunga wa kueleweka
Mkuu sio itakua,ni fungu limetoka na Ile ya Jana ilikua apige na simu awasalimie, mjadala wa madee na tale ukaona hii ishakua soo
Sasa hao ni lini waliwahi ku deal na Wasanii hasa matamasha au tamasha kama hilo? Hao unaowataka kwa show ya Jana , walikua bado wako kijijini huko enzi wakuu wanatambaHiyo kazi wangempa Mwijaku au Dotto ndio kazi zao. Hata likibumba halibumbi na heshima haiondoki popote kwa sababu wao hizo ndio kazi zao
Tena mikoani wakipeleka siasa wataumizwa vibaya mnoo wajaribu waoneWatoa Fedha a k.a wadhamini wa show,wamekosa airtime na promo,KAZI ishakua ngumu
Mikoani waende kufanya show na sio kulaghai raia
Jana wamepata somoTena mikoani walimpeleka siasa wataumizwa vibaya mnoo wajaribu waone
Kumbe walikuwa wana agenda binafsi πππSidhani maana Jana inaonekana angepiga Hadi simu ukumbini, ila ndio hivyo mission failed
Lengo la kuburudisha na kuwakutanisha Wasanii wa zamani limefanikiwa ila ajenda ya kumchomeka Mama na serikali yake limedunda live
πHahahaha, watoa hela wote Jana wamekosa airtime
YesKumbe walikuwa wana agenda binafsi πππ
Nyuma ya pazia mamaee wallahi
Alisema hivyo ?? πππAlimtaja makonda. Watu wakazomea. Akajishtukia eti huyo naye hamumtaki
Yeah tangu awali hiyo show ilishikwa na wizara lakini walikuwa wanajificha ficha wanajifanya kusema kwamba wasanii ndio wame waomba support πππItakuwa kuna fungu linatoka. Ni kama sehemu ya wadhamini waliotoa mpunga wa kueleweka
Yeah tangu awali hiyo show ilishikwa na wizara lakini walikuwa wanajificha ficha wanajifanya kusema kwamba wasanii ndio wame waomba support πππ