Unapozomewa ni tafsiri watu hawakuheshimu kama unavyofikiria. Hawakuonei haya

Mtu anayekupenda na kukuheshimu hawezi kukuzomea kamwe tena mbele ya halaiki. Lazima akustahi.

Walivyo wajinga watajibu mapigo. Ki-vipi? Wataandaa hadhara nyingine, watapandikiza ma-chawa wengi. halafu jina la Samia likitajwa, watarukaruka kwa furaha na vigelegele kuonyesha kuwa ''anapendwa''. Serikali ya wapumbavu hii!
Uzuri waTanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47
Watanzania wa sasa wanajua kutofautisha kati ya maigizo na uhalisia!!!
Maigizo yapo yanaigizwa na machawa na ukweli upo kwenye vifua vya WATANGANYIKA
 
Kwenye hilo,
unaweza kua na tafsiri au mtazamo wowote ule,
but all in all,

Inabaki kua ni kama vile tu mashabiki wa soka wa timu ya Simba, kuwazomea mabingwa wa soka Tanzania kwa mara5 mfululizo Dar Es Salaam Young Africans.

hua haina athari zozote zile kisoka na haibadili chochote msimu mzima wa ligi 🀣
 
Sidhani maana Jana inaonekana angepiga Hadi simu ukumbini, ila ndio hivyo mission failed

Lengo la kuburudisha na kuwakutanisha Wasanii wa zamani limefanikiwa ila ajenda ya kumchomeka Mama na serikali yake limedunda live
CCM hawana aibu. Uliona ile mission yao ya ''wakatoliki wa bandia'' wakimpinga father Kitima? Au ya ''sheikh'' Mwaipopo (soma popobawa)
 
Uzuri waTanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47
Watanzania wa sasa wanajua kutofautisha kati ya maigizo na uhalisia!!!
Maigizo yapo yanaigizwa na machawa na ukweli upo kwenye vifua vya WATANGANYIKA
Uko sahihi kabisa. Kilichobakia sasa ni wananchi kuonyesha hisia za kwa vitendo. Hii hatua inakuja, hasa ikizingatiwa kuwa CCM wenyewe wanaiharakisha kwa mambo wanayofanya baada ya kulewa madaraka. Wanajioana kwamba ndiyo wenye haki ya kufanya lolote hata kuua. Nlishangaa sana hicho kimama kinasema eti serikali haiamrishwi cha kufanya.
 
Yule Bwana hajawai kuwa sehem akafanikiwa bila kuaribu , ona jana aibu iliyompata , akiwa mkuu wa mkoa ilikua ni vituko tu ,anapenda sifa kuliko wahaya
 
Mwijaku mtoe bado anatibu hali yake ya afya maana haiko sawa ametoka kuzimia juzi kati kwa mshituko wa boss wake Salah wa silent ocean kumpa gari
 
Hawa majizi wanaheshimiwa kinafki na subordinates wao huko maofisini, wanafikiri kila mtu anawaheshimu la roho zao mbaya.
 
Tuseme tu ukweli, Mama Samia wengi tulimkubali humbleness yake kisiasa alipoingia madarakani, ukilinganisha na madudu ya Mwendazake.

Lakini alipojizungushia wanamtandao heshima ikaanza kushuka.
Kajimaliza kabisa heshima kwa mauaji ya OKT29, hili sidhani kama linaweza kurejesha heshima aliyokuwa nayo.
 
Walivyo wajinga watajibu mapigo. Ki-vipi? Wataandaa hadhara nyingine, watapandikiza ma-chawa wengi. halafu jina la Samia likitajwa, watarukaruka kwa furaha na vigelegele kuonyesha kuwa ''anapendwa''. Serikali ya wapumbavu hii!
Halafu kuna muda pale kwenye screen ililetwa picha ya Samuya kavaa ushungu mwekundu ila hakukuwa na maelezo,ikapita kama sekunde kadhaa wakatoa ile shoo jana wadhamini walipanga jambo ila ile reaction ya wananchi dili likabuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…