Kimewaramba....Babu Tale alikuwa anajishaua kwa Madee, nimekusaidia kufanikisha hili suala hunidai Madee!(akimaanisha alimpa mchongo wa sponsor aliyekosa airtime)Hahahaha, watoa hela wote Jana wamekosa airtime
Alianza vizuri kwa kumnukuu "MAKAVELI" kwamba kuna sehemu inatakiwa uongee kidogo na kuna sehemu unatakiwa uongee sana ila kashindwa kujua vitu gani vya kusema sehemu hii na vitu gani havipaswi kusemwa sehemu ile.Habari za Sabato!
Kuna ile unafikiri watu wanakuheshimu kwa kiwango cha juu. Kiasi kwamba hata ukitema shudu, pumba, ukitoa boko basi watu kwa heshima waliyonayo kwako watakustahi.
Ni kweli mtu anayekuheshimu sana hawezi kukuzomea, kukukatili, kukukatisha, kukufedhehesha. Hilo ni kweli kabisa.
Lakini kuna ile mtu unajiona wa muhimu sana. Kwamba mimi siwezi kuzomewa. Kwa niliyofanya siwezi kuzomewa. Kwa jinsi tulivyo na mahusiano yetu siwezi kumwagiwa majitaka, kupigwa mayai viza.
Sasa kumbe heshima yako sio kubwa kihivyo. Sio kama unavyofikiria, unavyodhani, kama ulivyo jidanganya.
Ndio ile unaongea utopolo, unamwaga ukoko alafu watu hawakukawizi wanakumwagia majitaka. Dadeki!
Sasa kwa vile bado huamini unafikiri labda ni bahati mbaya, unakazana kuzima jaribio la kuzomewa hapo ndipo unaharibu kabisa. Watu wanafungulia Chemba zote za jiji, mwendo wa majitaka unamwagiwa tuu.
Ni muhimu kujua hasa ukiwa kiongozi wa siasa. Heshima uliyonayo sio kubwa kama unavyojidanganya. Heshima ndogo uliyonayo jitahidi uilinde ili aibu za rejareja kama hizo zisikupate.
Usiweke rekodi mbaya kwamba uliwahi kuzomewa mbele ya halaiki, mbele ya media, watu bila kusita walikumwagia majitaka. Kwani hiyo wapinzani wako wa kisiasa wataitumia sana Huko mbeleni kama reference.
Kiufupi ni kujiharibia CV kwamba haikubaliki kivile.
Mtu mwenye kupendwa na kuheshimiwa sana kamwe hawezi kuzomewa. Watu lazima wamvumilie, wamstahi.
Wataishia kusema mzee kazingua lakini sio kwa kummwagia ukoko na majitaka.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ewaaa,na sponsor alinunua tiketi 200,kakosa airtime,inauma sanaKimewaramba....Babu Tale alikuwa anajishaua kwa Madee, nimekusaidia kufanikisha hili suala hunidai Madee!(akimaanisha alimpa mchongo wa sponsor aliyekosa airtime)
Dah muda huu babu Tale atakuwa kwenye kamati ya maelezo kumuingiza sponsor hasaraEwaaa,na sponsor alinunua tiketi 200,kakosa airtime,inauma sana
Hahahaha,jibu jepesii tu, wananchi wamekataaDah muda huu babu Tale atakuwa kwenye kamati ya maelezo kumuingiza sponsor hasara
Wamegoma aisee!Hahahaha,jibu jepesii tu, wananchi wamekataa
Uzuri watu wake walikuwwpo wamejionea wenyewe, sheta,bananga,mjema,fa,taleWamegoma aisee!
Sema kwa vile ni vyura viziwi aibu waliziacha humohumo ukumbini watoka wamekaza fuvuUzuri watu wake walikuwwpo wamejionea wenyewe, sheta,bananga,mjema,fa,tale
Na kweli watafanya hivyohivyo so sad.Walivyo wajinga watajibu mapigo. Ki-vipi? Wataandaa hadhara nyingine, watapandikiza ma-chawa wengi. halafu jina la Samia likitajwa, watarukaruka kwa furaha na vigelegele kuonyesha kuwa ''anapendwa''. Serikali ya wapumbavu hii!
Kuna siku itakua mbaya zaidi ya hiiSema kwa vile ni vyura viziwi aibu waliziacha humohumo ukumbini watoka wamekaza fuvu
Truth well said, ni kama baba au mama akikuagiza jambo baya huwezi kumzomea, unaweza usilifanye tu.Mtu anayekupenda na kukuheshimu hawezi kukuzomea kamwe tena mbele ya halaiki. Lazima akustahi.
heshima haiondoki..kwasababu haijawahi kuwepo.Hiyo kazi wangempa Mwijaku au Dotto ndio kazi zao. Hata likibumba halibumbi na heshima haiondoki popote kwa sababu wao hizo ndio kazi zao
utabiri ulitolewa na nani huu? wewe?Ilitabiriwa 2030 Ccm atakosa kiti Cha uraisi na akijaribu kulazimisha amani itatoweka milele Tanzania, wapo wataoingia msituni
Watu Wana hasira na Ccm na wote walioshiriki kuuliwa Kwa wananchi October 29, ndugu na jamaa zetu wamepoteza uhai Kwa kudhulumiwa
Vyama pinzani vitulie na visimamishe watu sahihi, vikishindwa , rais atatokea mtaani
Hayo mambo ya kujidhalilisha ya akina Steve Mengele (Nyerere wa mchongo).Ishikawa kipengele.
Hapo tricks isingekuwa hiyo.
Kazi za heshima hupewa watu wa heshima.
Hiyo kazi ya kumtaja Rais Samia angepewa Mwijaku au Dotto watu wa kazi cha lawama, kutukanwa kama sehemu ya kupima upepo.
Lakini mtu kama Mwana FA kuwa mtu wa majaribio kwa kazi hiyo tayari rekodi mbaya ameshaiweka. Kuzomewa. Sio jambo dogo katika mambo ya heshima
Haijalishi tunachojua wameshaangukautabiri ulitolewa na nani huu? wewe?
Dully Sykes kajaribu kumtaja tu makonda watu wakaruka naye.Babalevo mjanja sana, hadi nalala sijamsikia kabisa akichomkea siasa siasa.
Hayo mambo ya kujidhalilisha ya akina Steve Mengele (Nyerere wa mchongo).
Hamis Mwijuma kayavagaa maji taka.