Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.

Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...

Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?

Huyo makonda wenu mtajuana wana CCM wenyewe.
 
acha jazba hii nchi mambo ndio yaleyale akuna jipya,ukiyazoea hayakupi tabu.relaxy mkuu.
Kweli yatawasumbua wasiojua soma nyakati, bandari ndo bado ngoma mbichi ,Utanaanza upyaaaaaa ,alisema Mh Bwege, ata jana vijana wa ccm kuvamia mkutano wa chadema wenda ilikua ni agenda ya leo ,japo ilibuma,
 
Akuna jipya kaka,harakati za majukwaani zimeshindwa tushazizoea hazina tija.
 
Nchi ya kijinga hii. Wanadharau Sana wananchi na kuwaona hawana maana. Very stupid
 
Mtanzania bhana ni mrahisi sana kumtawala akili yake,bashite has used as a stepping stone to minimize the chaotic noise in town.
Bashite atapigwa chini baada ya kelele chache zilizobaki about dp kuisha.
Msoga pro nmewasalute saaana.
 
Kwani ni lini Makonda alifurushwa ndani ya CCM?Wale Huwa wanasoma upepo halafu wanafanya umafia wowote ili kiregulate situations ngumu wanazokabiliana nazo.Kinachowabeba ni kufanya kazi kitaasisi na kutokutoa Siri za kambi kitu ambacho upande wa pili kinawashinda.
 
Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.

Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...

Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?

Huyo makonda wenu mtajuana wana CCM wenyewe.
Wameshajua asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga!! Hata kama ningekuwa mimi!! Mtaji wao ni ujinga na umaskini wa mtanzania
 
Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.

Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...

Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?

Huyo makonda wenu mtajuana wana CCM wenyewe.
Ulikuwa hujui. Makonda anakuja kusababisha mitifuano ya ndani kwa ndani CCM. Akina Nape, Makamba, Makamba Sr. Jakaya Kikwete na wengine aliowaumiza hawatamwacha. Hii inaonekana kuwa hata mama alikuwa nyuma ya mpango wa kumuua Lissu.
 
Acha jazba hii nchi mambo ndio yaleyale akuna jipya,ukiyazoea hayakupi tabu.relaxy mkuu.
Hiyo sio jazba. Ni hv, ikiwa kila unapoenda kuswali, msikitini au kanisani, yuko jamaa anaependa keti karbu nawe na ana tatizo la tumbo linalo7bisha kuachia ushuzi, huezi relax unapomuona ibadani. Itabidi utafute njia kumjulisha kuwa aachane nawe, atafute sehemu nyngn ya kukaa. Au anaweza kuku7bishia kuacha kusali. Huezi relax ktk harufu ya maushuzi
 
Hakuna tabu hapo.. akili mnazo kufatilia yoyote kwa pamoja..

Makonda oyeeeee...

Kazi iendelee...
 
Chadema bwana yaani leo ndio wamekuwa na huruma na CCM? Makonda kateuliwa na CCM sasa kama nyinyi mnaona hafai ndio mlitakiwa mfurahie waswahili wanasema adui muombee njaa, sasa nyinyi ni wazi unamuogopa Makonda kuwaambia CCM huyo hafai sasa mnataka walete anyefaa? hebu deal na mambo yenu hata huko CDM wahuni wengi tu wamejaa mbona wanajulikana.
 
Back
Top Bottom