The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kweli yatawasumbua wasiojua soma nyakati, bandari ndo bado ngoma mbichi ,Utanaanza upyaaaaaa ,alisema Mh Bwege, ata jana vijana wa ccm kuvamia mkutano wa chadema wenda ilikua ni agenda ya leo ,japo ilibuma,acha jazba hii nchi mambo ndio yaleyale akuna jipya,ukiyazoea hayakupi tabu.relaxy mkuu.
Akuna jipya kaka,harakati za majukwaani zimeshindwa tushazizoea hazina tija.Kweli yatawasumbua wasiojua soma nyakati, bandari ndo bado ngoma mbichi ,Utanaanza upyaaaaaa ,alisema Mh Bwege, ata jana vijana wa ccm kuvamia mkutano wa chadema wenda ilikua ni agenda ya leo ,japo ilibuma,
Wameshajua asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga!! Hata kama ningekuwa mimi!! Mtaji wao ni ujinga na umaskini wa mtanzaniaPole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.
Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...
Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?
Huyo makonda wenu mtajuana wana CCM wenyewe.
Ulikuwa hujui. Makonda anakuja kusababisha mitifuano ya ndani kwa ndani CCM. Akina Nape, Makamba, Makamba Sr. Jakaya Kikwete na wengine aliowaumiza hawatamwacha. Hii inaonekana kuwa hata mama alikuwa nyuma ya mpango wa kumuua Lissu.Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.
Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...
Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?
Huyo makonda wenu mtajuana wana CCM wenyewe.
Kwa mara ya Kwanza Tangu January Leo umeongea point.Acha jazba hii nchi mambo ndio yaleyale akuna jipya,ukiyazoea hayakupi tabu.relaxy mkuu.
tangia January,,ππKwa mara ya Kwanza Tangu January Leo umeongea point.
Hiyo sio jazba. Ni hv, ikiwa kila unapoenda kuswali, msikitini au kanisani, yuko jamaa anaependa keti karbu nawe na ana tatizo la tumbo linalo7bisha kuachia ushuzi, huezi relax unapomuona ibadani. Itabidi utafute njia kumjulisha kuwa aachane nawe, atafute sehemu nyngn ya kukaa. Au anaweza kuku7bishia kuacha kusali. Huezi relax ktk harufu ya maushuziAcha jazba hii nchi mambo ndio yaleyale akuna jipya,ukiyazoea hayakupi tabu.relaxy mkuu.