GE2025 Unasema unadai haki halafu muda huohuo unasema tar 29 utaifuta CCM. Je, utakuwa umewatendea Haki wanaccm?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe sasa umeingia kwenye taarabu za Kiswahili badala ya kujibu maswali.
Umewahi kuona mwana CCM anayeamini chama tofauti na CCM kinaweza kushinda uchaguzi au iwapo kikishinda uchaguzi kinapaswa kukabidhiwa nchi??

Umewahi kuona mwana CCM anayeamini tume ya uchaguzi inayochaguliwa yote na mwenyekiti wa chama chake haiwezi kutenda haki katika uchaguzi?

Mimi ninawajua wanachedema wengi tu wanaotaka uwanja sawa tu wa uchaguzi na chama chochote kitakachoshinda kipewe uongozi hata ikiwa ni hiyo CCM inayowatesa.
 
Wewe unatumika tu

Kwa madhila CCM waliyotufanyia Watanzania haki yao pekee ni kuondolewa madarakani na kufutwa.
 
Je wana CCM wana hubiri haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…