Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Mkuu wewe ni mchokozi, kwanini usiache watu wafanye kile wanachoamini na wewe ufanye unachoamini? Pia kumbuka kuwa kufunga kuko kwa aina nyingi.
Mkuu hili ni swali na sioni kama ni uchokozi. Simzuii mtu kufanya anachokiamini.
 
Shekh, ukila huwezi kujizuia kufanya maovu.
 
Sawa mkuu, kwahiyo mnajizuia na dhambi na chakula kwa muda kuanzia asubuhi mpaka jioni.
"Tafsiri yetu sisi waislamu ya kufunga ni kujizuia kula na kunywa na kuingilia kimwili wakati wa mchana,sijui watu munababaika wapi."

Nimemnukuu hapo juu.
 
Mkuu hakuna wasichoelewa hao jamaa...
Hapa linatengenezwa daraja tu la watu kutema kebehi na chuki zao!.
Na hii imekuwa ni desturi kila ifikipo kipindi cha mwezi mtukufu mijadala ya namna hii kujirudia.
Hapa utamaliza maarifa yako yote kuelezea jambo hili kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka lakini utaishia kujibiwa kwa kejeli tu.
Hata hii post yako angalia huyo mleta mada alichokujibu hapo juu.
 
Eti uponyaji na uzima..wizi mtupu!!
 
Yani mafarisayo mbona mnateseka ivi
Insigne njoo uone farisayo huyu

wakristo bhna zimepita siku za kwaresma hamna ata thread moja humu jukwaani ila Mfungo tu ulipoanza kila siku kashfa

Sasa ww unojidai unafunga siku 7 badi usinywe hata na hayo maji hlf tujue kweli kua umefunga

Uislamu ni dini nyepesi mno haipo kumsumbua mtu

Punguza chuki kijana
 
Mk
Boss hili swali lilikuwa kwa watu wote, halikulenga dini yoyote.
 
Mkuu hili swali lilikuwa kwa watu wote halikulenga waislamu.
 
Huyu ni mkardayo mkuu wala usipate shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…