Kinachokusumbua ni kuto jua maana ya Neno Imani.
IMANI: Ni tumaini, Kuamini, Utamaduni, usitegemee imani yako ifanane na ya mwingine.
Wapo wanaoamini kuwa, hakuna Mungu kwangu nawaoma wako sawa, kwa sababu zao.
Tatizo linaanza pale unapohoji imani ya mwingine, bila kujua hizo unazo ona ni dosari ndizo zilizotufanya tuwe tofauti.
Kwa mtu alie makini, atamkosoa wa imani yake ambae anaenda kinyume na miongozo yao, ukihoji imani nyingine wakati wao hawafuati miongozo yenu, kuwa hujui hata unachokiamini.