Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Wewe unataka manufaa gani? Lengo la funga ya muislam unalijua?Kadri unavyoendelea kuandika unadhihirisha namna hicho mnachoita kufunga kisivyo na manufaa.
Ukifunga vizuri unakuwa mpole, mtulivu na mnyenyekevu. Hapo sasa ibada inakuwa nzuri mbele za Mungu.
Jaribu siku saba ulete mrejesho.
Manufaa ya kidini yapo kwa mwenye imani yake.
Kwani wewe unapohubiri huo uponyaji na uzima una manufaa kwangu mimi?
Sisi sitajaribu hizo siku 7 wala 100 days....sababu sihitaji hayo manufaa ya kwako. Nahitaji manufaa ya kidini sio hayo unayotaka wewe.
Tusilazimishane.