Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Sijawahi kumsikia Daktari yeyote, akihimiza watu kuishi na njaa wiki au zaidi ya wiki eti ni sehemu tiba, au watu wa mazoezi wakise ukika Siku 90 unakunywa maji kidogo tena usiku unakua na afya acha uwongo.Ni namna bora kwa tafiti za kiafya.
Mimi sipingani na mafundisho ya imani yoyote.