Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah....kasome Kuran sura ya 109(Makafiri) Mstari 1 - 6 🤣🤣🤣🤣🤣Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.