Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Najaribu kutafuta point ya hii thread lakini sijaipata. zaidi naona watu wanakuwa offended.
Means bila shaka kuna kitu hakipo sawa.
Unakuwa offended kwasababu ya your own prejudices. Hii sio mada ya kidini.
 
Leo akija mtu na kukwambia amepata maono kwamba uhuru wa Tanganyika ulikuwa June 5 mwaka 1957 na kwamba raisi wa kwanza wa Tanganyika alikuwa Rashidi Kawawa utakubali?

Hii ni exactly alichofanya Muhammad, zaidi miaka 600 baada ya Yesu yeye akaja na kuleta habari aliyoiita mpya (ingawa alisoma maandiko ambayo tayari yalikuwepo) na akaanzisha dini halafu kuna watu mpaka leo wanaamini stori yake kuliko yale maandiko ya wanafunzi wa Yesu waliokuwa mashahidi ya yote yaliyotokea.

Ni risk kubwa sana kuamini mtu mmoja against mamia ya mashahidi
Maono nin,i je Waislamu wanaamini kwenye maono.

Wewe tatizo unachanganya mambo, maono ya kwa wakristo husani walokole, kupitia maono, kibwetele aliawaambia waumini wake wakifa kwa kujinguza kwa moto kanisani, wote wanauona ufalme wa mbinguni, Mungu kampa maono.
 
Mie mwenyewe nimeshangaa kwanini wamekasirika maana mleta mada kapiga mifungo yote miwili inayoendelea ndani ya mwezi huu. Kufunga kwa kunywa maji tu ngumu sana ni wachache mno wanafunga hivyo napo ni kwa utashi wao
Najaribu kutafuta point ya hii thread lakini sijaipata. zaidi naona watu wanakuwa offended.
Means bila shaka kuna kitu hakipo sawa.
 
Mtu anasema watafute neno jingine , utadhani hio funga walijatafutia

Naona unajibu watu kuwa hawaelewi maana ya Funga , bila kuelewa ya kwamba wewe ndiye huelewi
 
Shosti jamani usilie ndo ukubwa huo vumilia hio mimba
Teeh teeh.

Umri unakwenda binti acha kuwa mchafu wa akili na mwili upate mume utulie.

Uislamu hautakuwa na uwezo wa kuufanya chochote zaidi ya kuandika upumbavu wako humu jamii forum.

Badilika binti na uwe na akili timamu.
 
Okay, sawa nakubali unachosema you're 100% right.
Kwahiyo point yako ni nini?
Point ya mada ni kuwa kiafya ukifunga kuanzia siku saba inausafisha mwili na kuboresha afya yako. Sumu zote zinatolewa mwilini.
 
Kumbe ndo mimba ya uzeeni pole uliringa sana ujanani now upo macho unavizia daku kwa wenye waume zao daah inasikitisha sana
Teeh teeh.

Umri unakwenda binti acha kuwa mchafu wa akili na mwili upate mume utulie.

Uislamu hautakuwa na uwezo wa kuufanya chochote zaidi ya kuandika upumbavu wako humu jamii forum.

Badilika binti na uwe na akili timamu.
 
Makafiri bhana unafiki ni moja ya ibada kwenu.

Mada ya kidini hata mtoto mdogo anaielewa unaikwepesha.

Sisi tutakupiga nyundo hivyohivyo hata ukijifanya kuleta unafki wako.

Sawa kubwa la makafiri?
 
Maono nin,i je Waislamu wanaamini kwenye maono.

Wewe tatizo unachanganya mambo, maono ya kwa wakristo husani walokole, kupitia maono, kibwetele aliawaambia waumini wake wakifa kwa kujinguza kwa moto kanisani, wote wanauona ufalme wa mbinguni, Mungu kampa maono.
Boss sidhani kama umewahi kufanya utafiti juu ya imani yako. Unajua Khadija alikuwa roman? Yule binamu yake anayeitwa Waraqua ndiye alikuwa mtu wa kwanza kumwambia Muhammad kwamba aliyoyaona ni maono. Unafahamu kwamba huyu naye alikuwa roman??

Anyway, jaribu kujisomea utaelewa haya mambo badala ya kukaririshwa maandiko.
 
Mie mwenyewe nimeshangaa kwanini wamekasirika maana mleta mada kapiga mifungo yote miwili inayoendelea ndani ya mwezi huu. Kufunga kwa kunywa maji tu ngumu sana ni wachache mno wanafunga hivyo napo ni kwa utashi wao
You've got a point, Nakuelewa.
 
Makafiri bhana unafiki ni moja ya ibada kwenu.

Mada ya kidini hata mtoto mdogo anaielewa unaikwepesha.

Sisi tutakupiga nyundo hivyohivyo hata ukijifanya kuleta unafki wako.

Sawa kubwa la makafiri?
Hii mada sio ya kidini. Umeitafsiri vibaya.
 
Pole shosti ulijitia ujuaji now unaanza kulia lia cheeeeiiii
Well, are you happy now?
Hebu mwambie mmeo akutie kimoko ulale kwanza. Ironically unaonesha umemiss kutiwa. Tell your bf by your side to do you a favor. It's not bad.
 
Back
Top Bottom