gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Sijaona mahali mtoa mada kataja dini yoyote ila nashangaa kuna watu wamepanik utadhani ni wao peke yao ndio wanaofanya hicho kitendo hapa duniani.Mtoa mada katoa mawazo yake kwasababu ukweli ni kwamba watu wote wanaofanya icho kitendo mchana usiku huwa wanakula kwahiyo inakua haina tofauti na jinsi ambavyo kikawaida huwa tunakula mchana alafu usiku hatuli.ndo maana anaona nisawa na kubadilisha tu ratiba ya kula.Kwa hali hiyo hata ukikiweka hicho kitendo kwa minajili ya aidha afya au dini bado unaona kuna kitu hakijakaa sawa kwasababu mambo bado yanabaki kua vile vile ni muda tu ndio unaobadilika.