Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
- #81
Kwasababu gani?Huwezi kukwepesha hii mada, na imani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu gani?Huwezi kukwepesha hii mada, na imani.
Huwezi kufa boss.Unataka kutuua😅?.
Ata wenzako apo wanakwambia ukweli upo waziHizi ni hisia zako tu.
Ss mbona kutulazimisha siku 21😅Huwezi kufa boss.
Hili hapa ndio jibu lako.Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Kufunga ni nini? We uliyezaliwa miaka ya 80 unajua zaidi kuliko waliotangulia zama na zama hata utupangie jina?Nimependekeza wasitumie neo kufunga maana wanachofanya sio kufunga.
Unajua wewe ni mpumbavu. Wewe unaita umefunga halafu unakunywa maji kiu kinapokushika......sasa ndio umefunga kitu gani?Wanaweza kubuni lolote zuri. Mfano: mabadiliko ya ratiba ya kula.
Mkuu unaweza kuonesha mahali popote dini imetajwa kwenye bandiko langu?Hili hapa ndio jibu lako.
Makafiri mnalazimisha mnachofanya nyinyi kiwe ndio kile kile awe anafanya muislam halafu kiwe ndo ibada. Sio sahihi.
Nyie mkienda kanisani mnaimba, mnasikiliza mahubiri, mnatoa sadaka na kisha kutoka na mnasema mlikua mkisali. Kwa muislam SALA ni kitendo maalum na kina utaratibu wake INDIA, CHINA, AFRICA, US, kote sala inafanana. Hili ni tofauti kwenu....wanavyosali Warumi na Lutheran na kanisa la Mwamposa ni tofauti na kila sehem wana mfululizo wa matukio yao.
View attachment 2177140
Jaribu kukaa siku 7 ukinywa maji lita moja kwa siku halafu ulete mrejesho.Unajua wewe ni mpumbavu. Wewe unaita umefunga halafu unakunywa maji kiu kinapokushika......sasa ndio umefunga kitu gani?
Ndivyo funga ya Muislam ilivyo. Usile mchana kutwa. Nyie mlitaka iweje ndo iwafurahishe?Ni kubadili ratiba ya mnuso
Unaweza kufunga kwasababu mbalimbali ikiwepo hiyo ya kuunidhamisha mwili ili umtafute Mungu.Ss mbona kutulazimisha siku 21😅
Wkt siku moja yatosha kumkumbuka Mwenyezi?
Na ndio lengo la kufunga
Upumbavu sio tusi. Hapo ulipo una sifa ya upumbavu. Nijaribu kukaa siku 7 nakunywa tu maji namfurahisha nani?Jaribu kukaa siku 7 ukinywa maji lita moja kwa siku halafu ulete mrejesho.
Ni kwanini wewe ambaye hukula tangu asubuhi unatukana saa hizi?
Kufunga ni suala la kiafya zaidi ambapo mtu anaacha chakula ili kuupa nodhamu mwili.Kufunga ni nini? We uliyezaliwa miaka ya 80 unajua zaidi kuliko waliotangulia zama na zama hata utupangie jina?
Wewe unavyofaham kufunga ni nini?
Kutotaja dini si sababu ya kuficha upumbavu wako. Wakati mwingine ni heri kukaa kimya kuliko kuongea na watu wakajua upumbavu wako.Mkuu unaweza kuonesha mahali popote dini imetajwa kwenye bandiko langu?
Hapa wewe umeleta chuki isiyohusiana kabisa na mada.
Kwahiyo ni sahihi mimi nikitafsiri kwamba wewe ni mpumbavu?Upumbavu sio tusi. Hapo ulipo una sifa ya upumbavu. Nijaribu kukaa siku 7 nakunywa tu maji namfurahisha nani?
Dini yetu haijaelekeza hivyo. Na huko si katika ibada zetu.
Kufunga ni suala la kidini kwa Waislam sio afya. Afya comes later. So na maelekezo ya dini yanasema wakati gani ule na wakati gani usile na kufunga huko si kuacha kula tu.....unaacha hata kumwingilia mkeo ama mwanamke kuingiliwa.Kufunga ni suala la kiafya zaidi ambapo mtu anaacha chakula ili kuupa nodhamu mwili.
Ukifunga unaufanya mwili ufanye detoxification na mara nyingi ukiumwa huwa mwili unapoteza hamu ya kula kama njia ya kwanza ya kujiponya.
Sasa pia kwenye Imani mbalimbali kuna kufunga ila ndio kiafya siku saba zinafanya cleansing ambayo hata kiibada ni bora.
Mimi hapa sishindani na imani ya mtu yoyote. Naongelea kitendo cha kufunga.
Kadri unavyoendelea kuandika unadhihirisha namna hicho mnachoita kufunga kisivyo na manufaa.Kutotaja dini si sababu ya kuficha upumbavu wako. Wakati mwingine ni heri kukaa kimya kuliko kuongea na watu wakajua upumbavu wako.
Hapa hakuna mtoto mdogo eti ulichoandika hakuna atakaye ng'amua. Hiyo ni chuki ya kidini mfarisayo wewe.
Mwezi ukianza tu shari huwa mnazitafuta, nyie si mna kwaresma? Mmeona sie tumehoji ibada zenu? Lakini kila siku mara nyoko mara fyoko....sijui ratiba ya kula sijui nn? Myie kinawahusu nini?
Pilipili ya shamba yakuwashanani?
Ficha upumbavu wako
Maana ya kutoka wapi?Kwahiyo ni sahihi mimi nikitafsiri kwamba wewe ni mpumbavu?
Hata hivyo mimi sipingani na imani yako.
Ukikaa siku saba kwa kunywa maji tu utaelewa maana halisi ya kufunga.
Mimi sina tatizo na msimamo wala imani yako. Nimezungumzia namna bora ya kufunga.Maana ya kutoka wapi?
Hiyo ni maana ya kwako. Wewe kaa siku hata 100 bila kula na jihesabu umefunga.
Na mimi niache nifanye nijuavyo. Shida yako wewe ni nini?
Hakuna mahali tumekubaliana sisi wafungaji ama watumia neno kufunga kwamba inabidi mtu afanye hivi ndo atakuwa amefunga.
Bado narudia.....ficha upumbavu wako.