Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Imenibidi niscreenshot[emoji1787][emoji1787] kuna watu wananondo
 
Ni kweli ulichosema na kilamtu ana vipaumbele vyake hivo ni vema kuweka ukaribu na mtu Kam unamuhitaji Ili ujue uende vipi na akuelewe inawezekana hata wew kunavitu ulikuwa huvihitaji Kwa msichana ila Kwa haraka zako usijue ukajua mmeshaanza mahusiano Bora kuwa na urafiki at least mnaweza kufahamiana
Haya mambo kuna muda hayana formula, see what works best for you. Unaweza sema ujenge kwanza ukaribu ukija kutupia verse unaambiwa umechelewa nina mtu why hukuniambia mapema all these days nilikuwa single ,mie nlikuchukulia kama rafiki tu.
 
Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.
Tuna Hela na hatuna huruma za kijinga na maushamba mwitu.
Ukileta pigo za Kulia shida kama umeona Unicef hy ndio tiketi.
#Bear Gwamwana Gwa
 
Tunaoa Hela na hatuna huruma za kijinga na maushamba mwitu.
Ukileta pigo za Kulia shida kama umeona Unicef hy ndio tiketi.
#Bear Gwamwana Gwa
Wee nawe acha kubadili badili majina kaone kwanza. Bado tu kujiita Mwakipopofyo
 
Natumai mu wazima sana,

Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?

Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
Mtumie vocha ya elf kumi, baada ya week mkaribishe sehem maalum kazi kwisha.
 
Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
😁😁 Ww unaonekana fundi wa kutongoza.
 
Back
Top Bottom