Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Imenibidi niscreenshot[emoji1787][emoji1787] kuna watu wananondo
 
Haya mambo kuna muda hayana formula, see what works best for you. Unaweza sema ujenge kwanza ukaribu ukija kutupia verse unaambiwa umechelewa nina mtu why hukuniambia mapema all these days nilikuwa single ,mie nlikuchukulia kama rafiki tu.
 
Kuna kizuri rahisi? Au mrembo bomu?
Mzuri hujitunza na ni expensive kumpata sana
Achana na wale wenye uzuri wa makeup hao ndio gharama Sana kuwapata na kuishi nao
 
Watu wanabisha hapa, lkn sishangai sababu inawezekana ktk harakati zao hawajakutana bado na Ke wa aina hiyo.
I met this Lady once, she was not after my money at all, but she was happy that i could afford nice meal for us😊
 
Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.
Tuna Hela na hatuna huruma za kijinga na maushamba mwitu.
Ukileta pigo za Kulia shida kama umeona Unicef hy ndio tiketi.
#Bear Gwamwana Gwa
 
Tunaoa Hela na hatuna huruma za kijinga na maushamba mwitu.
Ukileta pigo za Kulia shida kama umeona Unicef hy ndio tiketi.
#Bear Gwamwana Gwa
Wee nawe acha kubadili badili majina kaone kwanza. Bado tu kujiita Mwakipopofyo
 
Natumai mu wazima sana,

Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?

Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
Mtumie vocha ya elf kumi, baada ya week mkaribishe sehem maalum kazi kwisha.
 
😁😁 Ww unaonekana fundi wa kutongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…