Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

poleni sana wakuu, nilikuwa sahihi nilipoachana na masuala ya kusoma baada ya kumaliza kidato cha nne nikaanza kujishuhulishi na biashara ndogo ndogo, naishi kwa amani sana licha ya kuwa sina utajiri. wenzangu munaishi na stress sana.
 
[/QUOTE] 1.Umetaja taasisi za serikali kisha unasema hizo ni fani/taaluma?
2.Mwalimu wa chuo UDSM/DIT,umfananishe na mtanzania wa kawaida
Je wewe sio MPUMBAVU?
 
Tayari umeshazungumzia Daktari ambaye ana taaluma lakini huyu anayelipwa almost milioni 3 hana elimu yoyote wala fani yoyote lakini anakunja aidha sawa ama kumzidi mwenye taaluma.
1.Taasisi ipi Tanzania?, mtu ambaye hana taaluma analipwa zaidi ya mtu mwenye taaluma,itaje hio taasisi.
2.unazani MEDICINE ni jambo rahisi,hata huyo mtu wako wa kufirika unayetamani kua awe hana taaluma na alipwe pesa nyingu ndani ya serikali kuliko wenye taaluma anatamani amsomeshe mwanae shule nzuri awe daktari
 
poleni sana wakuu, nilikuwa sahihi nilipoachana na masuala ya kusoma baada ya kumaliza kidato cha nne nikaanza kujishuhulishi na biashara ndogo ndogo, naishi kwa amani sana licha ya kuwa sina utajiri. wenzangu munaishi na stress sana.
1.Umetumia tool ipi kupima kiwango cha stress?
2.hata machinga anasema naye amejiajiri na hategemei mshahara,lakini afisa yupo BRELA analipwa mtaji wa huyo machinga kwa mwezi na analalamika ameajiriwa maisha magumu
3.Shida Moja ya elimu ukiikimbia na kuipinga,lazima TU uwe mjinga ama mpumbavu,sababu Kuna muda utaihitaji,kama wewe hapo unaposema una furaha bila kutaja tool uliyotumia kupima hio furaha
 

punguza joto mkuu matusi yanini? mbona umekuwa offended kama hivo? humu kila siku wanaokuja kulalamika ni walimu, madaktari, waajariwa wa serikali. sasa unataka kipimo gani chengine mkuu? mnaishi na mastress mingi sana halafu munajifanya kutembea vifua mbele kama ni watu waliofanikiwa ila kiundani mna hali mbaya sana.
 
Elimu ukiikimbia lazima uwe MPUMBAVU......Kila parameter kwenye maisha inapimwa Kwa tool maalum,kama distance in KM,temperature in centigrade etc,hata furaha na stress kuna tools zinatumika kupimia.
Yaani unadhani wabunge kulalamika wananchi wao wanamaisha magumu,ndio unadhani wanamaanisha wanatetea na kuwapenda sana?
Umerudi kusema hizo kada zinalalamika maisha magumu na hiko ndio kipimo chako wewe cha wao kutokua na furaha Kwa kua tu wewe haulalamiki,je wewe sio MPUMBAVU
NOTE
Mpumbavu ni mtu asiyejua jambo,akajifanaya anajua,akasahihishwa bado akajifanya yeye anajua
 
Balance story je huyo angeweza kusomea udaktari kma serikali isinge mpa mkopo wa mil 32
Shida binadamu tukiambiwa ukweli tuna nuna,sibora hata umeipata hiyo ajira wapo wenzake hata kupata mkopo wa kusoma hawaja pata,umepata unataks mshahara mil.10.Nenda marekani ukaajiriwe,ama burundi kama ukinuna zaidi.
 
Shida binadamu tukiambiwa ukweli tuna nuna,sibora hata umeipata hiyo ajira wapo wenzake hata kupata mkopo wa kusoma hawaja pata,umepata unataks mshahara mil.10.Nenda marekani ukaajiriwe,ama burundi kama ukinuna zaidi.
Kabisa vijana wa Taifa wameharibiwa na siasa za chuki hapo anaona daktari anaonewa ni nani kwenye hii nchi ana mshahara mkubwa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…