Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Msichukie wakuu. Hata some vipi watu wanataka wakuone una hela nyingi bila kujali umezitoa wapi. Ndo mana watu wakiingia kwenye siasa wanazinyuka kwelikweli mana mitaan huku ujinga wa kutosha1.Umetumia tool ipi kupima kiwango cha stress?
2.hata machinga anasema naye amejiajiri na hategemei mshahara,lakini afisa yupo BRELA analipwa mtaji wa huyo machinga kwa mwezi na analalamika ameajiriwa maisha magumu
3.Shida Moja ya elimu ukiikimbia na kuipinga,lazima TU uwe mjinga ama mpumbavu,sababu Kuna muda utaihitaji,kama wewe hapo unaposema una furaha bila kutaja tool uliyotumia kupima hio furaha
