1.Sasa unadhani madaktari kwenye hizo taasisi zinazolipa mishahara unayodai ni mikubwa huwa hawaajiriwi?
2.MSD,NHIF,BOT,TANAPA,TPDF......etc huko hakuna madaktari MD?
3.kwa hio madaktari waliokua kwenye hizo taasisi unazosema zina mishahara mikubwa wao ndio wanalipwa kidogo?
4.halafu hizo ulizotaja kada za umma,TANAPA,TRA,LATRA....hizo sio kada/"profession"ni taasisi za umma ambazo zimeajiri kada mbali mbali kama accountant,lawyer,MD,I.T,etc na hulipwa kulingana na salary scale ya taasisi husika
5.Je wewe sio MPUMBAVU kwa kutokujua kua pia MD huajiriwa kwenye taasisi,na hulipwa salary scale according to hio taasisi?
6.Je wewe sio MPUMBAVU😃😃 kwa kusema kwamba TANAPA,TRA na LATRA ni kada,wakati hizo ni taasisi?
😆😆
NOTE
Wengi wanaoponda MD ni waliofeli secondary kua MD sababu maksi hazikutosha sasa wanajifariji kwa kusingizia MD wanalipwa kidogo