Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Miaka 6 ya msoto lakini malipo sawa tu na Mwanasheria wakipishana kiduchu mno.
Mwajiriwa Hifadhi za Taifa huko porini asiye na elimu kubwa analipwa mara mbili ya hii ya MD.
Mwanasheria analipwa sh ngapi akianza kazi na km ana degree?