Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Msichukie wakuu. Hata some vipi watu wanataka wakuone una hela nyingi bila kujali umezitoa wapi. Ndo mana watu wakiingia kwenye siasa wanazinyuka kwelikweli mana mitaan huku ujinga wa kutosha
 
1.Umetaja taasisi za serikali kisha unasema hizo ni fani/taaluma?
2.Mwalimu wa chuo UDSM/DIT,umfananishe na mtanzania wa kawaida
Je wewe sio MPUMBAVU?
[/QUOTE]

Uwe unajifunza kusoma na kuelewa kwanza kabla hujaanza kuharisha wewe kima.
 
1.Umetaja taasisi za serikali kisha unasema hizo ni fani/taaluma?
2.Mwalimu wa chuo UDSM/DIT,umfananishe na mtanzania wa kawaida
Je wewe sio MPUMBAVU?

Uwe unajifunza kusoma na kuelewa kwanza kabla hujaanza kuharisha wewe kima.
[/QUOTE]
Taratibu wazee kwa namna hii mnaweza kuamsha hasira za walio usingizini.
 
Mbona hela nyingi hivyo, laki 8 kwa siku 30. Maana yake kwa siku unakuwa na 26,000 na chenji zake, afu hiyo 32ml wamelipa wazazi wako au umelipiwa na serikali. Kama vipi rudisha 32ml kisha uache kazi uje tujiajiri katika ufundi ujenzi na kutwanga kokoto huku.
 
Hao specialist ni wangapi sasa, hiyo pesa anayopata hapa inalipwa na ngombe watatu wenye wastani wa lita 18 per day
 
Dr Restart huu uzi mbona unaupita kama hauoni?
Hahahaha!.

Udaktari si biashara. Mtu anayesoma udaktari ili apate fedha nyingi anapoteza muda na hafai kuwa daktari.

Mtu mwenye usongo na kutajirika akawe mfanyabiashara ama mwanasiasa. Hao akili na mawazo yao yapo kwenye upigaji na kuwaza faida kwa namna yeyote.

Udaktari ni kuwa na lengo kubwa haswa la kuokoa maisha ya wengi. Kuleta unafuu kwa wanaoteseka.

Ukishaanza tu kuwaza hela huku unatibu, unakosa utulivu na pengine ukaboronga. Maana hela ni ndogo sana.

Ila kuna gape ya kupiga hela ukiwa vizuri. Ukikomaa na kuspecialize, baasi. Hewala!.
 
Mawazo ya kijima.
 
Hapo nimekupata daktari wangu.
 
Watu huwaga hawaelewi tu na kuishia kuotea , Hospitali dili zinapigwa si mchezo MD wajanja wanatoka hospital na si chini ya 100k hii ni siri ya Dokta , tena ukija hizi hospital za mjini wagonjwa wenyewe ndio wanatoa hela cash ili wapate favour ..Hapo bado hujajumlisha na posho zingine, Halafu wengi wasichokijua ni muda wa kazi, MD kazini anaingia saa tatu kamili za asubuhi by saa nane ashaondoka baada ya hapo akiitwa tena kazini ni posho , kwa mwezi unaweza itwa mpaka mara kumi inategenea na ukubwa wa hospitali na wingi wa madokta waliozamu ya kuitwa , chukulia mara kumi zote analipwa , hapo bado sijasemea Seminer na zile dharulula.
tena siku hizi CO wanaojitolea kibao unampa ya kula anakalia zamu yako anasongesha gurdumu akikwama ndio anakuita.

Asilimia kubwa ya wanaopata mishahara mikubwa kazi zao ni za mikataba ukiisha ndio basi anaanza upya
 
Miaka 6 ya msoto lakini malipo sawa tu na Mwanasheria wakipishana kiduchu mno.

Mwajiriwa Hifadhi za Taifa huko porini asiye na elimu kubwa analipwa mara mbili ya hii ya MD.
Kweli kabisa. Askari wa TANAPA anampiga gap kubwa daktari aliyesoma miaka mitano plus internship mwaka mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…