Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

🤣🤣🤣 Umeona sasa! Ndio mana nakwambia WEWE BADO SANA
1.Wewe si umesema hautanijibu Tena?
2.Bado sana kwenye nini?,
3.Mi natoa nondo na kujibu Kila quote kwa hoja na reference,wewe unajichekesha
4.Tupo hapa kuwa pre empties WAPUMBAVU kama nyie munaoami ujinga ni gharama nafuu kuliko elimu
 
Mkopo 32,000,000 hiyo analipa mpaka anastaafu wanachukua na kiinua mgongo.

Na kuna wale wajinga wamesoma rusia mikopo mikubwa sijui watalipaje mana labda heslb wauze nyumba watakazo jenga
 
Sawa Mimi nimpumbavu mwenye hela sio mbaya, #vyetikabatini weka namba nikutumie hata 100k unaonekana haupo sawa
 
Usione nakosea hata kuandika nipo busy Sana dogo sina MDA wa kuandika namba hizo kupoteza mda
 
MDs wengi wana njaa hasa hawa wa local government.
Mshahara mdogo matarajio ya jamii makubwa.
Wanaishia kwenye mikopo ya kinyonyaji.
 
Hii ndiyo tunaiita kengewa haha
 
MDs wengi wana njaa hasa hawa wa local government.
Mshahara mdogo matarajio ya jamii makubwa.
Wanaishia kwenye mikopo ya kinyonyaji.
1.Katika nchi masikini kama Tanzania,MD WA local government Wana njaa ukicompare na taaluma zipi za local government?
2.Jibu hilo swali la kwanza?😃😃
3.wafanyakazi gani ambao wao hawaishi katika mikopo ya kinyonyaji?
 
Sawa Mimi nimpumbavu mwenye hela sio mbaya, #vyetikabatini weka namba nikutumie hata 100k unaonekana haupo sawa
1.Pesa kiasi gani?,maana hata mtu anayelipwa 2M hapa bongo nintajiri mno kwa GDP yetu ila ukienda U.S huyo ni masikini wa kutupwa
2.unadhani kua na pesa za halali,kiasi cha kua na standard life kama analoishi MD mwenye hio salary slip, ni jambo rahisi kwa Tanzania?
 
Mkopo 32,000,000 hiyo analipa mpaka anastaafu wanachukua na kiinua mgongo.

Na kuna wale wajinga wamesoma rusia mikopo mikubwa sijui watalipaje mana labda heslb wauze nyumba watakazo jenga
1.Je mshahara utabaki hivo hivo hadi anastaafu?
2.Hawezi kufungua biashara akafanikiwa kulipa huo mkopo?
3.Ni kweli ulishindwa kujiuliza swali namba 1 na 2?,je wewe sio MPUMBAVU😆😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…