Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Muuza chips aliyesoma darasa la saba anakunja 30k kila siku.Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Daktari anayejua kazi yake vizuri, ana uwanja mkubwa sana wa kupata pesa nyingi.
Hapa tunazungumzia kile anachopata halali kutokana na ajira yake aliyosomea. Hayo ya kupata nje haikuwa lengo la kusoma.Daktari anayejua kazi yake vizuri, ana uwanja mkubwa sana wa kupata pesa nyingi.
Kwa mshahara huo ni mdogo, ila kwa sababu ameamua kuwa 'cheap labour' hakuna namna; angekuwa vizuri angetafuta kazi huko nje akapokee milioni 30Mkuu tubOngelea salary slip kwanza hizo side hustle ni issue nyingine
Hapa hatuzungumzii access ya kupata pesa nje ya kazi uliyosomea ama ajira uliyonayo.ila uzuri wa udaktari una access nyingi za kupata pesa
Hapo kuna allowances hazijawekwa.Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Wait six years coming utapata zaidi ya hiowhy all that 6 yrs? ushenzi mtupu
Sasa wewe unazungumzia mishe nje ya cycle ya kazi uliyoajiriwa.Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Umeshasema specialist hapo ametia miaka 9 ya darasana na bado hata 3M haufiki huo mshahara ili apate hela za kutosha ndo kama hivyo anateseka anafanya kazi masaa mengi kukidhi mahitaji na status yake.Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Kila siku nasema hapa.Dahh!!. Maisha ya watanzania/waafrika ni mateso sana hakyanani.
Hiyo pesa usipokua na kazi unaweza itaman sana ila subiri upate hiyo kazi sasa.
Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.Umeshasema specialist hapo ametia miaka 9 ya darasana na bado hata 3M haufiki huo mshahara ili apate hela za kutosha ndo kama hivyo anateseka anafanya kazi masaa mengi kukidhi mahitaji na status yake.
Sasa wewe unataka ufanye kazi masaa 7 ulipwe 10m? Hivi watanzania nani kawaloga? Unataka hela nyongi work your ass off. Hakuna hela rahisi.Sasa wewe unazungumzia mishe nje ya cycle ya kazi uliyoajiriwa.
Kama ni hivyo mbona fani nyingi tu zina hizo access unazosema daktari anazo.
Mtu wa sheria unakuta ameajiriwa full time lecturer lakini bado ataenda kufanya kazi za uwakili nje ya ajira yake, kufundisha vyuo privates kwa malipo tofauti na anayolipwa kwenye ajira ya kudumu.
Bado anaweza kuwa na ofisi yake ya uwakili napo ameajiri watu anavuta pesa.
Unawaza ki shule shule ndio sababu. Na unajiona wewe kama wewe ulivyo hapo..Mimi nimemuonA mleta uzi hana akili, hela yote hiyooo😂
Uponila kwa daktari miaka 5+1 mshahara huo ni majanga
Huku Kuna watu wamesoma mambo ya biashara au administration miaka 3 wanalipwa zaidi ya hiyo
Huo mshahara aliopost mto mada kwenye taasisi zinazolipa hio scale,huyo mwenye salary slip hio ndio analipwa pesa nyingi kuliko wa kada nyingine yeyote ile.Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.