sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinakudsanywa points za miaka minne iliyopita, Yanga kaanza kuzikusanya mwaka jana, bado safari ndefuYanga
Hapo mkuu wamezipanga kwa ubora hizo timu au randomly?Zinakudsanywa points za miaka minne iliyopita, Yanga kaanza kuzikusanya mwaka jana, bado safari ndefu
Wanakusanya Points za mashindano ya CAF kwa miaka minne iliyopitaHapo mkuu wamezipanga kwa ubora hizo timu au randomly?
Labda hiyo tournament iwe hosted na MwakalebelaYanga
Nimekuelewa mkuu.Wanakusanya Points za mashindano ya CAF kwa miaka minne iliyopita
Simba ikifuzu robo fainali itapanda itakuwa ya 6
How possible Petro Atletico atolewe group stage msimu huu na anaongoza kundi pia ana mechi ya home ambayo ni 100% win possibly?Kati ya Cr Belouizdad na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
NB: Petro De Luanda kashatolewa makundi msimu huu, Simba ikifuzu robo wanachukua nafasi ya sita
View attachment 2851838
Hii ni kitu gani aiseeYanga
Usiangaike ni Esperence Du Tunis ,huyu anaingia nusu fainal club bingwa wa kumtoa ni mamelod,Ahly basi,asipokutana na hao utamkuta fainal.Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
View attachment 2851838
Yanga akichukua champions league anaweza kwenda ingawa ni ngumu kama sio haiwezekani kabisaZinakudsanywa points za miaka minne iliyopita, Yanga kaanza kuzikusanya mwaka jana, bado safari ndefu
Inapandaje kuwa ya sita wakati Petro de Luanda, Yuko makundi CAF na anahitaji sare tu afuzu. Hapo inategemea labda hao Waangola waishie robo na Simba aende hadi nusu fainali.Wanakusanya Points za mashindano ya CAF kwa miaka minne iliyopita
Simba ikifuzu robo fainali itapanda itakuwa ya 6
Hiyo ramli chonganishi hakuna wa kuwazidi Esperance na Mamelody hapo. Hizo timu kufika nusu fainali ni kugusa tu.Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
View attachment 2851838