Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Samahani Wakuu, kwanza poleni na na pilika za hapa na pale

Kuna nyimbo za kitambo kidogo za mwana Muziki Mbuta Likasu

Mbuta Likasu_sauve qui pent
Mbuta Likasu_attention obus

Kama kuna mwenye nazo please naziomba,
Natanguliza shukrani kwenu wana jamvi.
 
Mwingine nakutafutia
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…