chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Uzi mzuri huu ,hongereni san
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi mzuri huu ,hongereni san
Mwingine nakutafutiaSamahani Wakuu, kwanza poleni na na pilika za hapa na pale
Kuna nyimbo za kitambo kidogo za mwana Muziki Mbuta Likasu
Mbuta Likasu_sauve qui pent
Mbuta Likasu_attention obus
Kama kuna mwenye nazo please naziomba,
Natanguliza shukrani kwenu wana jamvi.
Zitaje ww me nilikua Std 3 sizijuiDefao kuna wakati alikuwa anatoa album mpaka tatu kwa mwaka.....nibora uitaje unayoihitaji mkuu
sorry mkuu ni mwimaji wa nyimbo za injili wahenga wanampata, kama unazo tafadhali Fanya misheMunishi? sijakupata mkuu
OK asante bosiHapana mkuu....nyimbo za injili sinazo kabisa labda za kikatoliki tu