Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Ukinipatia huo wimbo itapendeza
 
Mkuu kuna wimbo mmoja kaimba General Defao kwa kiswahili sijui kama kashirikishwa au yeye kashirikisha
"Kosa langu baba unihurumie, kama ni makosa .... basolinaaaa
Ameimba na mzambia aitwaye Suke chile. huu hapa chini
 

Attachments

Kuna wimbo fulani wa kisouth afrika, ni instrumental tu mwanzo mwisho. Bahati mbaya sifahamu jina la hizo beats.
Wakati fulani unatumiwa na madansa kwenye sherehe za arusi na nyingnezo
kuna instrumental za miaka ya zmani yaani mwanzoni mwa miaka ya 90 na zipo za miaka ya hivi kalibuni, sijui unamainisha zipi
 
Kuna wimbo wa siku nyingi kidogo, siujui jina lake. Uliimbwa na Manu Dibango (sijui kama nimepatia jina). Nayakumbuka baadhi ya maneno ".....Hallo hallo Africa eeee. ...."
Nimeutafuta sana, bahati mbaya sijui jina lake. Niliusikia nikiwa mdogo, hata sijaanza darasa la kwanza!
 
Mkuu naomba sana msaada wa nyimbo za 2 PROUD OR MR 2
 
Ombi langu mimi mkuu kabla sijaomba nyimbo naomba utofautishe kati ya R na L.
 
Ngoja na mimi niusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…