Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Naomba nyimbo hizi kama unazo.
Ajali wa Tuncut Alimasi, Mshenga wa Juwata Jazz, matata matata wa Vijana Jazz. Nikipata hizo kwanza nitafurahi sana.
Za Tz sina sana congo labda
 
Mkuu naomba wombo wa mpongo love.. Unaitwa ngainda sijui nimepatia jina ila mwanamuziki mpongo love
 
Kuna wimbo wa kiswahili nliusikia kwenye live band una maneno yake kama....''tulia wangu mpenzi tulia...tulia nami nipate kutulia"
Nasikia kaimba mzee choyo gojero ila sina ...nimeisearch youtube...hola....aisee kama kuna mtu anao naomba autupie humu.
 
Kisanora sebene imeimbwa na Koffi olomide, chozi la yatima by Jose mara nazitafuta sana!!!
 
Naomba unishushie masong yote yaliyopo kwenye Album ya Wenge music,Solola Bye..
 
Na pia naomba nyimbo zote za wenge musica zote za Albam ya Pentagon.. Natanguliza shukrani za Dhati..
 
Mwenye wimbo wa azda wa franko luambo makiadi, msaada naomba audondoshe hapa..

Pia, kuna wimbo umeimbwa na mwanamuziki wa kikongo simfahamu?? Ila kuna sehemu anaimba...... " lusongi Kenya hamuwhele homabee..." Halafu baada ya hapa anataja miji kama vile: Dar es salaam, Kigali, na nchi kama Zimbabwe, Cameroon, Botswana nk.
Post #18
 
huuu hapa
Tulikuwaga tunaimba hivi: Kikuu kinanukia aaah aaaaah! Kikuuu kinanukia aaaa....

Au

...ukimwi umeingia aaaah ukimwi umeingia aaaaah shemeji mayelo kaniletea malaya mambo yote yanikopesa maaa naumia yeke keeee tumoro yeke yeke....
 
kuna goma fulani la werason , full drums na biti za kufa mtu,
kama upo kwa mafile yako utupie huku
 
Back
Top Bottom