Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Sio ya Defao naitaka ile ya Donat Mwanza inaitwa Bana Congo
 
Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Mkuu naomba wimbo Wa last chance Wa kessy mwanamboka ft crazy t
 
naombeni wimbo wa zahir zoro "tuishi sote milele heeeee beatriceee tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezaooo"
 
Kuna ile ya Twanga pepeta inaimba " Ninavyokupenda mimi ....Twanga pepet mwisho wa kila kitu ooo oooo ooo
 
Back
Top Bottom