Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Ombeni nyimbo tuwapatie tupo hapa na Roga Roga mutu ya kazi[emoji2][emoji2][emoji2]
Kibao Cha papaaa Mathias simaroo lutumba kiitwacho NAKOMA pia mwanamuziki faya tessi amekirudia ila lutumba alikiimba vilivyo pili kibao papa bonheur Cha madilu system na tatu kibao Cha mayaula kinasema sembe sembeee....alewiii yaaani ni balaaa tupu nitumieni papaa rogaroga na papaa bakurutuuu mutu mukubwa
 
Attachments

Hicho kikiwa na english lyrics
 
Attachments

Back
Top Bottom