Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Naomba wimbo wa general defao sikumbuki vzur unautwaje but wenyewe unaanza na maneno "papaee yo imokibinda nkoye" humo ndani kuna vinanda vimepigwa huwa siwezi kukaa ukipigwa..!
 
Mimi naomba wa Zahiri Ally Zorro unakibwagizo wale wanaogombana ndio wanaopatana
 
Kuna wimbo nauisikia sana kwenye mabendi yetu, Wazee wenzangu hii aliimba nani?
"Tulia wangu mpenzi tulia
tulia nami nipate tulia"
 
ni wakibongo ?
Yes wa Kibongo.
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
"Tulia wangu mpenzi tulia,Tulia nami nipate tulia"
"Ni Wewe ndio furaha ya moyo wangu"
"Tahasuli mama wa watoto wangu"

Huu wimbo mtamu sana, leo nimeusikikiza pia, mwimbaji wake anaitwa CHOYO GOJERO, unanikumbusha nikiwa darasa la kwanza 1990..
 
Ni lazima ziwe za Kikongo wakuu?
Mimi naomba ngoma ilipigwaga live band Dotinata by FM Academy.

Thanks in advance.
 
Yes wa Kibongo.
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
"Tulia wangu mpenzi tulia,Tulia nami nipate tulia"
"Ni Wewe ndio furaha ya moyo wangu"
"Tahasuli mama wa watoto wangu"
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
nakutafutia mkuu
 
Back
Top Bottom