Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pat Shange nadhani itakuwaWeka za 90's mkuu
Pat Shange nadhani itakuwa
Hongera mkuuTupia kama unazo
ni wakibongo ?Kuna wimbo nauisikia sana kwenye mabendi yetu, Wazee wenzangu hii aliimba nani?
"Tulia wangu mpenzi tulia
tulia nami nipate tulia"
Yes wa Kibongo.ni wakibongo ?
Huu wimbo mtamu sana, leo nimeusikikiza pia, mwimbaji wake anaitwa CHOYO GOJERO, unanikumbusha nikiwa darasa la kwanza 1990..Yes wa Kibongo.
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
"Tulia wangu mpenzi tulia,Tulia nami nipate tulia"
"Ni Wewe ndio furaha ya moyo wangu"
"Tahasuli mama wa watoto wangu"
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
Huwezi kosekana hapa vewe[emoji23] [emoji15]
nakutafutia mkuuYes wa Kibongo.
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
"Tulia wangu mpenzi tulia,Tulia nami nipate tulia"
"Ni Wewe ndio furaha ya moyo wangu"
"Tahasuli mama wa watoto wangu"
"Tulia wangu mpenzi tulia, Tulia nami nipate tulia"
Asante kiongozi.Live show nyingi za kibongo upatikanaji wake ni taabu kidogo, Nimekupa hii wakati nikikutafutia Dotinata