Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mwenye wimbo wa azda wa franko luambo makiadi, msaada naomba audondoshe hapa..

Pia, kuna wimbo umeimbwa na mwanamuziki wa kikongo simfahamu?? Ila kuna sehemu anaimba...... " lusongi Kenya hamuwhele homabee..." Halafu baada ya hapa anataja miji kama vile: Dar es salaam, Kigali, na nchi kama Zimbabwe, Cameroon, Botswana nk.
azda upo tayari nahisi page za mwanzo za posti hii
 
Kuna wimbo unaitwa kesi ya kanga (Monica) naomba sana unifanyie hiyo mkuu, japo mwimbaji simkumbuki vizuri, na kuna wimbo wa mzimumi family- mpiga debe (fani katika maisha) ft Q chief for first time naanza kumsika
 

Attachments

Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Kuna wimbo wa kikongo unaitwa Mohamed sijui nani, nautafuta sana
 
kuna goma fulani la werason , full drums na biti za kufa mtu,
kama upo kwa mafile yako utupie huku
Unge specify tu jina maana yako mengi...nakupa moja tu
 

Attachments

Back
Top Bottom