Marashi
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,877
- 4,522
Mkuu ameshanitumiaNenda you tube andika Mory cante, utaupata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ameshanitumiaNenda you tube andika Mory cante, utaupata.
Sio Manu Dibango, huyu kaurudia tuu kwa style yake, anaitwa Franklin Baukaka wimbo unaitwa Le Boucheron Africa uko YouTube hapaKuna wimbo wa siku nyingi kidogo, siujui jina lake. Uliimbwa na Manu Dibango (sijui kama nimepatia jina). Nayakumbuka baadhi ya maneno ".....Hallo hallo Africa eeee. ...."
Nimeutafuta sana, bahati mbaya sijui jina lake. Niliusikia nikiwa mdogo, hata sijaanza darasa la kwanza!
Mkuu kama sijakosea ni Franco, Vicky, L'OK Jazz - Catherine Moziki, utanisahihishaMimi niombe kibao kinaitwa KATHY MODUDE cha Vicky (Longomba) akiwa na OK Jazz cha miaka ya 1960s. Natanguliza shukrani.
Hapana mkuu ni kama nilivyoandika KATHY MODUDE ya Vicky na L'OK Jazz enzi za Radio Tanzania Dar es salaam miaka ya 60+ toka hapo sijaisikia tena.Mkuu kama sijakosea ni Franco, Vicky, L'OK Jazz - Catherine Moziki, utanisahihisha
Ok ngoja kukuche nika fumue ma external yangu na album nyingi sana za Ok Jazz [emoji448] nikipata tuta share au au labda Roga roga anaweza kuja naoHapana mkuu ni kama nilivyoandika KATHY MODUDE ya Vicky na L'OK Jazz enzi za Radio Tanzania Dar es salaam miaka ya 60+ toka hapo sijaisikia tena.
Natanguliza shukurani.Ok ngoja kukuche nika fumue ma external yangu na album nyingi sana za Ok Jazz [emoji448] nikipata tuta share au au labda Roga roga anaweza kuja nao
Naomba nyimbo hizi kama unazo.Ombeni nyimbo tuwapatie tupo hapa na Roga Roga mutu ya kazi[emoji2][emoji2][emoji2]
Umenikunakama hii
upi maana ana nyimbo nyingi tu
Naomba wimbo wa ZipompapompaHuu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Naomba wimbo wa Indonation wa extra musicaOmbeni nyimbo tuwapatie tupo hapa na Roga Roga mutu ya kazi[emoji2][emoji2][emoji2]
Huwezi kosekana hapa vewe[emoji23] [emoji15]Unaitwa azda by franco