Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Naomba nyimbo ya tot plas inaitwa mtoto mtukutu, Pap Kocha ameshiriki kwenye hiyo nyimbo.
 
Sebene la werrason lililopigwa pale france
 

Wimbo wa madilu system na mimi nautaka ingawa jina silijui
 
wadau nisaidieni nyimbo za serengeti band ambazo wamezirudia nyimbo za zamani
 
wimbo wa ottu jazz band-gloria na wimbo wa tancut almas-masafa marefu
 
Teula mala
 
Solo thang: 1) SUKARI na PILIPILI
2)BONGO TRANS
3)UNYAMA UNYAMA
4)NDOTO
5)VINA UTATA
6)MAPENZI.. nkizipata nitafurahi sana
Huyu jamaa ni kichwa haswaaa ngoja nizitafute hizi nyimbo zake na Zaidi nitamtafute kule twitter maana miaka ya nyuma niliwasiliana nae sana huko twitter
 
Tafadhari adimin wa group la watsapp la kipindi cha capital Fm cha Emily ( Bozouk Time) kila siku jioni saa 12 hadi saa 3 usiku, naomba link au namna ya kuungwa nipate kuchangia huko
 
kuna nyimbo nimeisikia mara moja kiitikio chake ni kwamazuru eeh please anayeijua
 
mkuu Roga Roga , naomba wimbo flani hivi nadhani ni twanga pepeta. Kuna mahali wanaimba ''kazi za jikon mwachie shemeji ee."" ..,

(Ni kama jamaa anaingilia majukum ya wife jikon)...ni wazan kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…