Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Attachments

Dahh Mkuu yani hii nyimbo nna miaka km mi5 naitafuta af kila naemwelezea beat haielew, youtube holaa, apa enyew nlikuwa nafkiria naiandikaje hii beat ila mkuu umeiweka,, Shukrani za dhati zikufikie aisee,
Long Live Jf
 
If possible naweza nizapata ngoma za kwenye album ya V 12 ya koffi olomide...ikishindikana hata baadhi..
 

Attachments

Back
Top Bottom