Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Kuna wimbo flani uliimbwa na aliekua rafiki mkubwa wa papa wemba moja ya vibwagizo vyake ni mama na bela sheli na bela
HUYO NI PEPE KALE NA AMEIMBA NYIMBO NYINGI SANA KWA KUWEKA KIBWAGIZO HICHO KWENYE ALBUM YA MWAKA 1993 NA ILIYOFUATA YA MWAKA 1994
 




 
Jamani kuna wimbo sjui hata alieimba ila kuna maneno tu kama "danse danse eeeee, isa timi konnection............ yoyo owee.........Don't Say Don't Say Eee

Is a African Typic Connection

Sam Fan Thomas Unaitwa African Typic Connection
 
Huu uzi ulifanya mwaka jana nisikilize nyimbo za zamani mpaka nikahisi naishi miaka 1980 wakati ni 2022.. Shukrani Roga Roga kitambo sana pokea maua yako.
 
Mkuu roga roga,naomba Ile album ya Mario part one ya Franco,ikiwezekana yote tu,maana inanikosha sana,pale list ilitimia,ikishindikana wimbo wa pili baada ya Mario party one kwisha,sijui unaitwaje siukumbuki vizuri
 
natafuta wimbo unaoimba songaaa songaaaa songambele,ulioimbwa na Moni Mambo pls au mwenye full album yake ilibeba kwa jina la shika shika
 
Back
Top Bottom