Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

Screenshot_20250618-095048.jpg
Screenshot_20250618-095034.jpg
 
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

View attachment 3374152View attachment 3374155
Kama umebahatika kuyapatia maendeleo ya tumbo,basi sii lazima wote wakawa wamepatia pia.
 
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

View attachment 3374152View attachment 3374155
Haah Aisee hayo maendeleo?

Ebwanaee Sisi tunataka maji ya huakika na umeme WA bei poa na sio majengo
 
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

View attachment 3374152View attachment 3374155
Unachotakiwa kutambua ni kwamba; Maendeleo ni neno mtambuka.

Maendeleo yamepatikana bila shaka. Ila hayaendani na uhalisia, muda, na pia kipato cha mwananchi mmoja mmoja.
 
Kwa hiyo maendeleo ni maghorofa!?
Na katika hizo nyumba za miaka ya 70s, ni ngapi zimebadilika na kugeuka maghorofa ambazo wamiliki wao wameendelea kuwa walewale (yaani mwenye nyumba ya makuti amegeuka ikawa ghoroga na mmiliki akaendelea kuwa yuleyule)?
 
Nchi zinaongelea industrialization,artificial intelligence nk wewe unaonyesha magorofa! Au ccm. Nayo nikama yanga wenye akili wanahesabika.?
Hujaelewa au unaipandikiza akili yako ukaidi?
 
Watu mnapinga kipuuzi sana. Miaka ya zamani ilikuwa siku ngapi kwenda Mtwara kutoka Dar? Watu kwenda kanda ya ziwa ilibidi wawe wanapitia Kenya.... kuna mambo mengi mno yamefanyika ila wapinzani uchwara mnajitia upofu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, maendeleo yapo tena makubwa tu issue iliypo ni kwamba maendeleo tuliyoyafikia ukilinganisha na rasilimali zetu ndio utaona kwamba hakuna uwiano, sasa hivi hatukupaswa kuongelea SGR,
Tungekua tunaongelea METRO; Ubadhirifu ni mkubwa, Ufisadi ni mkubwa na mambo mengine mengi tu, shamba la bibi
Nenda Burundi ndio utajua tumeendelea au la!
 
Back
Top Bottom