Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, maendeleo yapo tena makubwa tu issue iliypo ni kwamba maendeleo tuliyoyafikia ukilinganisha na rasilimali zetu ndio utaona kwamba hakuna uwiano, sasa hivi hatukupaswa kuongelea SGR,
Tungekua tunaongelea METRO; Ubadhirifu ni mkubwa, Ufisadi ni mkubwa na mambo mengine mengi tu, shamba la bibi
Nenda Burundi ndio utajua tumeendelea au la!
ibirisi wa ccm hawana Haki ya kupewa kwani Mabilioni wanayotumia kukandamiza Demokrasia ni mengi kuliko kuwekeza kwenye maendeleo
 
Wakati tunapata uhuru 1960s, kiwango cha maendeleo cha nchi za Asia kilikuwa sawa na sisi Tanganyika, sijui tulifumba macho mwaka gani hata wakatuacha.

Vv
ibirisi wa ccm ndiyo Sumu ya kuzuia maendeleo Tanzania
 
Ni vigumu Tanzania ipate maendeleo ikiwa bado ibirisi watekaji wauaji wapenda vitendo haramu vya kishetani bado wapo
 
Ugomvi ni ela zilizotumika na maendeleo yetu

Uwez kutumia elf 20 kwa kula ugali dagaa
Huo ni mfano mmoja, halafu inategemea ugali dagaa unaulia wapi
 
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

View attachment 3374152View attachment 3374155
Mwaka 70, tulikuwa hatuchimbi MADINI

Hatuuzi makaa ya mawe

Hatuna PPP

Hatuna lundonla MIKOPO

Hatuna MACHAWA

Hatulipi MACHAWA

Hatuuzi gesi la UKAA, carbon
 
Watu mnapinga kipuuzi sana. Miaka ya zamani ilikuwa siku ngapi kwenda Mtwara kutoka Dar? Watu kwenda kanda ya ziwa ilibidi wawe wanapitia Kenya.... kuna mambo mengi mno yamefanyika ila wapinzani uchwara mnajitia upofu
Acha mambo ya kijima,hizi enzi zilikuwa za kuzungumza habari za Bullet train,akina AI,na habari za kwenda kutua mwezini kwa rasilimali na technologia za ndani.Unaongea habari ya mtwara ilikuwa siku ngapi kufikaa?
 
Naongelea maendeleo ya nchi
Kwa kuyauwa matarajio na imani ya Mtanzania kwa aliyemwamini kwa kushusha nyundo za utosini?Ama huwa mnaajifanyia kwa ajili yenu pekee?
 
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

View attachment 3374152View attachment 3374155
Maendeleo ya watu na vitu: na Nyerere aliwahi kusema "maendeleo ni kupanuka kwa uchumi na uhuru wa watu."
 
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.

View attachment 3374152View attachment 3374155
Majengo yaliyopo yamejengwa na wadosi.

Mpaka miaka ya 1980s ghorofa refu mtaa huo wa Lumumba Dar lilikuwa lile la Ushirika mkabala na kiwanja cha mnazi mmoja ambacho kilikuwa kinatumika kwa maonesha ya mashujaa
 
Ndio
 
Back
Top Bottom