Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

SIKU MBILI MFULULULIZO MAMBO ZA WATOTO HIZO HIVI NA HII 30+ NILIYONAYO SINA KAZI ZA KUFANYA MPK NIGANDANE NA K SIKU MBILI MFULULIZO?
HIZI BIASHARA ZENU IFIKE KIPINDI ZIKOME,ZINACHOCHEA VIFO,UJINGA NA UMASKINI
 
Dawa ni Saheal

Saheal ni Tadalafil kama ilivyo kwa Viagra, Erecto n.k hizi wanaita Sildenafil Citrate

Tadalafil (Saheal) na Sildenafil (Viagra) zote zinafanya kazi moja ila zinatofautiana kwenye mda wa kukaa mwilini.

Sildenafil Citrate zinakaa masaa 4 - 8 while izo Tadalafil (Saheal) zinakaa kwa mda wa masaa 24 - 36

Kwa anaetaka matokeo ya haraka atumie Sildenafil ila kwa asie na uhakika na mda wa tendo anashauriwa kutumia Tadalafil (Saheal). Kumbuka dawa zote hizi zinafanya kazi sawa, zinatofautiana tu kwenye mda wa kukaa mwilini. Hivyo alietumia Saheal na alietumia Viagra au Erecto wote wako sawa tu na wote wanaeza experience negative effects sawa.

Upande wa bei, Sildenafil (Viagra, Erecto, Njoi, n.k) hizi zinauzwa 2,000 mpaka 3,500 kwa kidonge

Tadalafil (Saheal, Adcirca, Cialis) bei ni 8,000 mpaka 10,000 kwa kidonge

Namiliki pharmacy hivyo hizo dawa nazijua vizuri maana ndizo zinazotoka sana dukani
Umeshamvua nguo dokta wetu
 
Kaka kwanza bravo kwa uandishi wako wa kisomi zaidi. Uzi umeambatana na elimu ndani yake. Zaidi sana upo Honesty kiasi unaweza mfanya mdau yeyote kushawishika kutest na asihi hatia😂😅😂.
Hahahahahahah...umetisha sana
 
Fanya mazoez ya kegel, tengeneza chai ya viungo tu tangawizi iwe nyingi kila siku hiyo ndo dawa pekee lazima uwe monster kwenye hizo mambo

Dawa Nyingine sisemi inabaki siri yangu
 
Fanya mazoez ya kegel, tengeneza chai ya viungo tu tangawizi iwe nyingi kila siku hiyo ndo dawa pekee lazima uwe monster kwenye hizo mambo

Dawa Nyingine sisemi inabaki siri yangu
Kuna jamaa walishangaa sana kukuta nyumbani kwa Dr mwaka kuna makopo ya dawa za kichina za kuongeza nguvu wakashangaa huyu si ndo anajisifu kutibia wengine.
Soma vizur comment hii utanielewa
 
Kuna jamaa walishangaa sana kukuta nyumbani kwa Dr mwaka kuna makopo ya dawa za kichina za kuongeza nguvu wakashangaa huyu si ndo anajisifu kutibia wengine.
Soma vizur comment hii utanielewa
Stori za kufikirika
 
Kabla ya tendo nusu saa kula safari yako ndgo ya baridi kapige show au ukiwa unatafuta cha tatu kunywa nusu bia
 
Eti unataka uonekane bingwa kwenye uzinzi. We piga zako tako zako mbili au tatu then Kojoa chako kamoja alafu pumzika zako na endelea na kupambana. Mtakuja kufa bure kisa upuuzi. We kama atakudharau akudharau ila Linda uhai wako. Hakuna mshindi wala atakayepewa taji la kuushinda uchi.

Mi wakati wa ujana wangu sijui kwa kuwa hakukuwa na mitandao wala hili la kusema kumridhisha mwanamke. Sikuwa najiumiza kwani binafsi nilikuwa naamini mwanamke ni chombo cha starehe. Wao wapo kutustarehesha sisi.
Usishindane na kitu kila mwezi kinatoa damu, piga mzigo utakapoishia vaa suruali haraka kaendelee na majukumu ya kujenga taifa.Kila mbuzi itakula kwa urefu wa kamba yake, usi force.

Hizo dawa zina boost blood pressure utakufa siku si zako.
 
Screenshot_2024-01-25-05-38-17-329_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom