Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kuna matajiri waliwai kupigwa kwa kuuziwa ule mnara uliokuwa Paris Ufaransa, point yangu ni kuwa hautokuwa wa kwanza kupigwa wasikuumize kichwa.
Hoping na wewe umeusoma na umemaliza wote, si ndio,Kama umeumaliza nafurahi mimi jamani!!
Tena merudia mara mbiliHoping na wewe umeusoma na umemaliza wote, si ndio,
Jambo la msingi ni content.Mimi kupigwa siwez..maana mishe anazofanya na mm ni tofauti kbs!sema anaongea vitu sensitive !
Tulia wewe, ni wajinga pekee ndo hawajakuelewa, elewa kwamba ni wajinga ndo bado hawajakupata make ili wakupate lazima uwafanye kitu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ni vyema princess wa mimi, na asubuhi ulikuwa kwa church eeeh.Tena merudia mara mbili
Wenye nazo hawajitangazi tangazi ovyo mafi wewe, pesa inawatangaza, haya kanye ukalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mda usiache kushusha material mkuu, hakuna mtu anayelazimishwa kusoma. Opposition hazikosekani sehemu yoyote ile.Hapa nimekushika shati hutoroki.
Wivu unakusumbua unachukia kuona naandika mambo yanayo-reasonate na watu wengi.
Wewe ni certified hater.
Na mbaya zaidi huna unaloweza kunifanya.
Wakati unaongea hizi pumba I’m growing my program. People appreciate what I’m offering.
Na hawa watu ni wa hapa JF wanasoma hizi pumba zako.
View attachment 1293538
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukipata mda usiache kushusha material mkuu, hakuna mtu anayelazimishwa kusoma. Opposition hazikosekani sehemu yoyote ile.
bulubamagambo@gmail.comMkuu haujaeleweka.
Kuhusu Online Business niseme tu leo Dec 15, 2019 ninaendesha Online Master Class kuhusu kufanya kazi UpWork.com
Hili darasa ni FREE.
Na linafanyikia Online katika App ya Zoom.
Kama unataka kushiriki nitumie Email yako and I will send you a link to join the Master Class.
Eeh. Nimeweka email yangu anipe link, ila kanuni ya ukitakula lazima uliwe lazima i apply.Angekiwa anapiga pesa angekaa kimya, hahaa ni sawa na Mo aje humu kifundisha watu jinsi ya kitengeneza juice.
Dogo anatafuta watu na muda si mrefu utasikia post za kulalamika humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ras simba alikulia pesa yako bure, unaaibika bure mtoto, umeshindaje lkn mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mda usiache kushusha material mkuu, hakuna mtu anayelazimishwa kusoma. Opposition hazikosekani sehemu yoyote ile.
Hapa nimekushika shati hutoroki.
Wivu unakusumbua unachukia kuona naandika mambo yanayo-reasonate na watu wengi.
Wewe ni certified hater.
Na mbaya zaidi huna unaloweza kunifanya.
Wakati unaongea hizi pumba I’m growing my program. People appreciate what I’m offering.
Na hawa watu ni wa hapa JF wanasoma hizi pumba zako.
View attachment 1293538
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umekariri..😂😂😂😂
Huyu jamaa anatafuta watu wa kuwapiga kama unafuatiliza sana post zake humu, yaani hii ndo nitoke vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
tell me more about your progra
m ' oneline bizness ni short au long or inachukua mda gani