Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Tulia wewe, ni wajinga pekee ndo hawajakuelewa, elewa kwamba ni wajinga ndo bado hawajakupata make ili wakupate lazima uwafanye kitu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa nimekushika shati hutoroki.

Wivu unakusumbua unachukia kuona naandika mambo yanayo-reasonate na watu wengi.

Wewe ni certified hater.

Na mbaya zaidi huna unaloweza kunifanya.

Wakati unaongea hizi pumba I’m growing my program. People appreciate what I’m offering.

Na hawa watu ni wa hapa JF wanasoma hizi pumba zako.

IMG_7502.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1293538

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukipata mda usiache kushusha material mkuu, hakuna mtu anayelazimishwa kusoma. Opposition hazikosekani sehemu yoyote ile.
 
Ukipata mda usiache kushusha material mkuu, hakuna mtu anayelazimishwa kusoma. Opposition hazikosekani sehemu yoyote ile.

Mkuu hawa haters mimi ni superstar wao lazima watakuja tu hata kama mambo hayawahusu.

Na nimeshawa promise nitakuwa hapa kuwakatakata mmoja baada ya mwingine.
 
Ila wakuu tujifunze utamaduni wa ku attack content badala ya kumu attack mtu personally. Kama una critisize ni vyema ukawa na aspect ambazo zinakuongoza ku critisize uoneshe sehemu ambayo sio sahihi alafu uoneshe hipi ni sahihi. Hivyo wakati mwingine tuwe matured na uwezo wa kuvumiliana pale inapobidi.
 
Mkuu haujaeleweka.

Kuhusu Online Business niseme tu leo Dec 15, 2019 ninaendesha Online Master Class kuhusu kufanya kazi UpWork.com

Hili darasa ni FREE.

Na linafanyikia Online katika App ya Zoom.

Kama unataka kushiriki nitumie Email yako and I will send you a link to join the Master Class.
bulubamagambo@gmail.com
Nipate link for ur free master class

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekiwa anapiga pesa angekaa kimya, hahaa ni sawa na Mo aje humu kifundisha watu jinsi ya kitengeneza juice.

Dogo anatafuta watu na muda si mrefu utasikia post za kulalamika humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh. Nimeweka email yangu anipe link, ila kanuni ya ukitakula lazima uliwe lazima i apply.
Tunasaka mahela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehetehe hakuna kitu hapa, usingekuwa humu
Hapa nimekushika shati hutoroki.

Wivu unakusumbua unachukia kuona naandika mambo yanayo-reasonate na watu wengi.

Wewe ni certified hater.

Na mbaya zaidi huna unaloweza kunifanya.

Wakati unaongea hizi pumba I’m growing my program. People appreciate what I’m offering.

Na hawa watu ni wa hapa JF wanasoma hizi pumba zako.

View attachment 1293538

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona una comment kwa ID nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahah Si unajua tena mkuu kuna mabrazamen humu wana comment huku wakiangalia upepo unaendaje mixer wakitaka waonekane ma gentleman kidogo/hawataki kuwauzi wakina mama walioko humu/wanataka wawachekeshe chekesha/comedians mbele za wakina mama mkuu,hahah
 
tell me more about your progra
m ' oneline bizness ni short au long or inachukua mda gani

Mwanangu we nenda kalime tu lile shamba lenu la kule bagamoyo,mambo ya online na wakulima wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom