Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Okay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuuMazoezi ya tumbo yanahitaji uvumilivu na pia kula vyakula sahii.... Matokeo ya mazoezi huja baada ya miezi miwili hadi mitatu wengine mpaka sita....
ok, nna wiki tatu,, najiina kamwili kanakatika ile kisawasawa,,, siwez acha,Ukianza mazoezi iwe ndio kama kilevi chako,sio eti baada ya kupungua uache UTAKUWA BONGE AFADHARI YA MWANZO,NA WATU WENGI HAWALIONGEI HILI. WAANGALIE WANAMICHEZO WOTE WALIOACHA AU KUPUNGUZA MAZOEZI WANAVYOKUWA.
shida ya gym mahela, sie wa kuunga unga mwana tunazipga hizo home tuKuruka kamba na Roller vimenisaidia sana kupunguza mwili ila huwa napata uvivu sana nikifanya hayo mazoezi nikiwa hme hadi najikuta naacha Roller na Kamba home naenda Gym kwa ajili ya hivyo hivyo vifaa ila kwa sababu Gym napata kampani nafanya najikuta nafanya mazoezi mda mrefu...
kweli kabisaNi ile fat mkuu iliyokua tumboni, baada ya kuifanyia mazoezi ndiyo hupelekea hilo.
kabisa mkuu, huwa natabasam pale napojichek kwa kioo,, kuona niko na mwili uliovunjika vunjika,, [emoji23]Mazoezi ukiyazoea inakuwa ni kama starehe. Nilianza kuota kitambi mara tu nilipopata kiajira na kuanza kuzikunja noti na kubahatika kupata kausafiri kakutembelea, nikaona sasa huko ninapoelekea nitapasuka. Nikiangalia muda wa kufanya mazoezi nakosa kabisa, naingia kazini asubuhi narudi jioni. Nikaona chakufanya hapa ni kuamka alfajiri nifanye mazoezi ndio niende kazini. Nikaanza kuamka saa 11:00 alfajiri kila siku, naenda uwanjani kukimbia kuzunguka uwanja. Siku ya kwanza nilizunguka mara 6, siku zilivyozidi kwenda nikawa naongeza, hatimaye nikawa naweza kuzunguka mara 35, na nikitoka kukimbia nikifika home nafanya mazoezi ya tumbo kama crunches, sit ups, n,k.
Siku hizi nimebadili utaratibu, sihesabu tena mizunguko ninayozunguka uwanja bali nakimbia kwa saa 1 bila kupumzika. Kitambi kimeyeyuka na nina six-pack, najisikia vizuri muda wote, nimechangamka na ninajiamini. Nimezoea kufanya mazoezi hadi nikikosa kufanya nahisi kupungukiwa kitu kwa siku hiyo.
Ukichukulia mazoezi ni adhabu, utafanya kwa siku chache na kuacha. Mazoezi ni matamu asikwambie mtu. Tufanye mazoezi wakuu.
Nimeona nishee hii ili wengine nao wahamasike
usichokeHaya mazoezi nimefanya sana lakini tumbo halikubali kuwa flat hata kidogo zaidi linakuwa gumu sana kwa ndani.
yamenikuta jana,, nlizidisha mzoezi ya tumboYamekukuta mkuu?
hakika mkuu, kwa haraka haraka nimeanza ona mabadiriko ktk mwili wangu,, kifua kishaanza kukatika, paja naliona linaanza kukatika,, kwenye mbavu naiona V nikinyoosha mikono juu, trycep inatoka fast sana, hadi nikitembea nahisi kamwendo kamebadilika [emoji23]Hongera sana hapo sasa vyombo vinaingia
Ongeza.hakika mkuu, kwa haraka haraka nimeanza ona mabadiriko ktk mwili wangu,, kifua kishaanza kukatika, paja naliona linaanza kukatika,, kwenye mbavu naiona V nikinyoosha mikono juu, trycep inatoka fast sana, hadi nikitembea nahisi kamwendo kamebadilika [emoji23]
ila tumbo ndo mziki baba,, kwa mbaaaali nazioona two pack nikikaa mbele ya kioo [emoji23] [emoji23]
ila mkuu vipi niongeze round maana hizi round tano kama nishazimudu?!
oooh, okey,,,, naanza kuongeza mkuu,,Ongeza.
Na ukizimudu unaongeza tena.
Ukizimudu unaongeza tena.
Yaani mwendo ni huo.
Ni njia nzuri kutrain kwa kujichallenge.
Nikitaka kuwa mnene ndo nifanye hivi mkuu?Ongeza kiasi cha chakula na kula mara kwa mara, angalau mara nne mpaka sita kwa siku.
Junk food ndo mwake, soda na vinywaji vyote vya kusindikwa usiache.
Kwa muda gani kuruka kamba kutafanya hivyo?Zoezi lepesi ambalo linaondoa mafuta tumboni/ mwilini na na kulifanya kuwa flat ni skipping rope au jumping rope yaani kuruka kamba!
Aina hii ya zoezi kushughulika na mwili wote na mojawapo wa cardiovascular health exercise! Yaani humfanya afanyae zoezi hili kuvuta hewa na kupumua kwa kiwango kikubwa- hali hii hufanya kuyeyesha mafuta na kuruhusu mzunguko mkubwa wa damu !
Likifanywa kwa muda wa dk 30 kila siku ndani ya mwezi mmoja, lazima utakuwa flat, bila kitambi na packs zitaonekana !
Jumping rope is among the best exercise for our body! Harafu ni cheap, na yaweza kufanyika popote!
Labda miezi mitatuKwa muda gani kuruka kamba kutafanya hivyo?