JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 704
- 1,083
Dah kumbe!!!! Mi nikajua sit ups zangu 30 kila siku zinatosha [emoji16]
Mazoezi sio rahisi aseee
[emoji23][emoji23]nimkupa link hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kumbe!!!! Mi nikajua sit ups zangu 30 kila siku zinatosha [emoji16]
Mazoezi sio rahisi aseee
Hata mimi nimeridhika na kitambi changu,hata kama nimeishiwa naonekana niko na pesa.Sisi ambao hatuna shida na vitambi vyetu kwasababu havituwashi wala havituumi tufanyeje?
Matokeo ya mazoezi unayaona mwezi?
Hata mimi nimeridhika na kitambi changu,hata kama nimeishiwa naonekana niko na pesa.
Hata kama natembea kwa miguu naonekana niko na gari ila nimeamua tu kufanya mazoezi.
Wewe ndio mjinga unayepoteza muda wako kutafuta malimao sijui ndizi uondoe tumbo badala ya kupoteza muda kutafuta pesaEndelea kujifariji mkuu na ujinga wako
Plus:Kula ni kawaida ila isiwe junk food (Burger, Pizza n.k
Wewe ndio mjinga unayepoteza muda wako kutafuta malimao sijui ndizi uondoe tumbo badala ya kupoteza muda kutafuta pesa
Sio kweli hayo ni maneno ya motivation speakers,unataka kusema wagonjwa wote waliolazwa hospitali ni watu wenye vitambi?Daaah afya ikizingua utaona hizo pesa utazipata wapi na utaona utakavyogramika matibabu acha kujipakaza ujinga wa kijinga
Yaap!!!, Kitambi kina heshima yake bhana.Hata mimi nimeridhika na kitambi changu,hata kama nimeishiwa naonekana niko na pesa.
Hata kama natembea kwa miguu naonekana niko na gari ila nimeamua tu kufanya mazoezi.
kwa mfano mkienda sehemu ya huduma watu wawili mwenye kitambi na mwingine flat lazima ataanza kuhudumiwa mwenye kitambi na aliye flat atafuata baadae.Yaap!!!, Kitambi kina heshima yake bhana.
Umeona eenhh???, Kitambi ndo hbr ya mjini.kwa mfano mkienda sehemu ya huduma watu wawili mwenye kitambi na mwingine flat lazima ataanza kuhudumiwa mwenye kitambi na aliye flat atafuata baadae.
Utakuta wahudumu wanakuita kwa unyenyekevu"Karibu Boss,tunaomba tukuhudumie" sasa hii favour ndio inayonifanya niache kujichosha au kujishindisha na njaa kwa ajili ya kukiondoa kitambi.
Na sisi wanawake wenye vitambi tutapewa kipaumbele???kwa mfano mkienda sehemu ya huduma watu wawili mwenye kitambi na mwingine flat lazima ataanza kuhudumiwa mwenye kitambi na aliye flat atafuata baadae.
Utakuta wahudumu wanakuita kwa unyenyekevu"Karibu Boss,tunaomba tukuhudumie" sasa hii favour ndio inayonifanya niache kujichosha au kujishindisha na njaa kwa ajili ya kukiondoa kitambi.
wanawake ni kesi tofauti kwa sababu unaweza ukawa kimbaumbau lakini mme wako ana kitambi na pesa kwa hiyo bado utaendelea kuheshimika tu.Na sisi wanawake wenye vitambi tutapewa kipaumbele???
MAZOEZI YA KUKATA TUMBO NA KUPUNGUZA UZITO HARAKA |Six Pack |Nyama uzembe |Kitambi|Abs workouts home gusa link hiyo [emoji1432]
Yapo aisee. Nenda gym. Lakini sit ups ni moja WaPo.ivi kuna mazoezi ya kuongeza kalio
Sit up ziko za Aina nyingi sio zote za kuongeza makalioYapo aisee. Nenda gym. Lakini sit ups ni moja WaPo.
Mmmh mpangilio wa kuandaa hivi vitu ni ngumu, mchana kazini inakuwaje? Kweli kutengeneza mwili ni gharama na muda juu.nimeipata hii hapaaa,,,,
1
MONDAY
Breakfast: 2 boiled eggs and 1 citric fruit too.
Lunch: 2 slices whole meal bread and some fruit.
Dinner: big serving salad and chicken.
TUESDAY
Breakfast: 1 citric fruit and also 2 eggs boiled.
Lunch: salad of green veggies and chicken.
Dinner: veggie salad, 1 orange and 2 boiled eggs.
WEDNESDAY
Breakfast: 1 citrus fruit and again, 2 boiled eggs.
Lunch: low fat cheese, 1 tomato and 1 slice whole meal bread type.
Dinner: salad and chicken.
THURSDAY
Breakfast: 2 eggs, boiled, and 1 citric fruit.
Lunch: fruit.
Dinner: salad and steamed chicken.
FRIDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: steamed veggies and 2 eggs.
Dinner: salad and barbeque or fish.
SATURDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: fruit.
Dinner: steamed chicken and veggies.
SUNDAY
Breakfast: 1 citric fruit and 2 eggs boiled.
Lunch: tomato salad, steamed veggies and chicken.
Dinner: steamed veggies.
Week 2
MONDAY
Breakfast: 2 eggs + citric fruit.
Lunch: salad + chicken.
Dinner: 1 orange, salad and 2 eggs
TUESDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: 2 eggs + steamed veggies.
Dinner: salad, fish or barbeque.
WEDNESDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: salad + chicken.
Dinner: 1 orange + veggie salad + 2 eggs.
THURSDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: steamed veggies + low fat cheese + 2 eggs.
Dinner: salad + steamed chicken
FRIDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: tuna salad.
Dinner: salad + 2 eggs
SATURDAY
Breakfast: as the day before.
Lunch: salad and chicken too.
Dinner: fruit.
SUNDAY
Breakfast: as so far again.
Lunch: steamed veggies + steamed chicken.
Dinner: as the lunch.
You see that this diet has no carbs almost and that is why you need doctor consult before starting it. The menu is repetitive and simple. And for even better results, include workouts at least half an hour per day.
salads angalia zile mbogamboga za kuchoma mafuta na protein nyigi(braccoli,apple,,parachichi ect) whole grain ni mkate wa brown.....sijui atta....hizo citrus fruit ni malimao ,,machungwa,,,matunda makakasi......ukichoka mkate kunywa na yogat plain low fat......ukiongezea na maoez kidogo unapata majubu mazuri zaidi....kwa wenye magonywa wawaone daktari kwa maelekezo kabla kuanza,,,,yai ni zuri sana kwa sababu inapunguza njaa na inavitamin hasa protin rahisi na low colestrol.....mtupe mrejesho