Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

Serikali inachukua 12% ya mkeka wa mshindi wa kamari (serikali inabeti) afu hyhy inaenda kumlipa mwalimu au daktari mwisho wa mwezi...... Apo uhalali upo wapi....

Kila nikiwaza kwamba mlevi anamlipa mtumishi mshahara nakosa pozi
Na Sasa hivi wameongeza 0.5% ya makato kwenye betting.( unapo withdraw pesa 0.5% inakatwa)
 
Back
Top Bottom